Huyu mwanaume alichonitendea kimeniumiza sana

Huyu mwanaume alichonitendea kimeniumiza sana

Kwanza ishi na mtu wa level yako yawezekana izo feeling za kua ignored zinakuja sababu tu "familia tajiri" pili umri wako bado sana ata theluthi ya maisha ujaianza jipange ishi utafanikiwa mwsho mimi ni mbichi kabisa kama wewe kama hautajali tuianze safari yetu ya kujitafta kimaisha

Vipi lakini, familia yenu ni tajiri?
 
Tulia, anakusubirisha kama wewe ulivyomsubirisha.
 
Back
Top Bottom