kelphin
JF-Expert Member
- Dec 24, 2019
- 10,539
- 17,484
Imesha hyoInaonesha kijana hakuwa na interest ila wazazi wake ndio waliohitaji zaidi mahusiano yenu...siku nyingine usiwe na expectation kubwa utaishia kuwa disappointed tuu.

tafuta kazi basi.....kumbuka elimu haina mwisho......wacha kuwazia "dick", utapata yako utaipenda....hiyo sio yako....Nshamaliza ndugu yangu
Inavyoonekana nyie wawili hamkupendana Bali mlijikuta tu sababu ya familia zimeamua kuungana.Habari wana JF
Mimi ni binti wa miaka 22. Nmemaliza elimu yangu ya shahada mwaka huu.Kuna jambo fulani limetokea kuniumiza sana labda kwasababu nilikuwa nmesha expect something.Kuna familia flan ivi tajiri na ni family friends wetu ilikuja nyumbani kwetu kwa lengo la kuomba uchumba kwa ajili ya kijana wao.
Kwakua bado nlikua cjamalizia semester yangu ya mwisho ili nihitimu chuo nikawaambia ngoja kwanza nimalize af mengne yatafata.Kijana akaja mpaka nyumbani kwetu tukaongea akaeleza jambo lake bac tukaendelea kuwasiliana.Mda kidogo ukapita ghafla akakata mawasiliano.Lakini ndugu zake bado walikua wananitafuta kuulizia kwamba tumefkia wap na ndugu yao nkawaambia ck izi hata siongei nae alisha acha kunitafuta.
Bac nkaona ngoja nimuulize muhusika nni kinaendelea ili nijue kama hii issue bado ipo ama laa ili niache kufikiria haya mambo. Bac nkamtua text ili kujua nni kinaendelea lakn hata hakunijibu. Sikupenda alichofanya nkamtumia tena texts na zinakua received watsap lakn anazikaushia tuu kunionesha kabsa ana ni ignore...
Sasa kwann asinieleze tu kwamba amechange mind ama hakunielewa jaman kuliko kuni ignore ivo af ukizingatia walikuja wenyewe mpaka hme kwetu wazazi wake na yeye af saiv ana ni treat kama vile si exist jaman yan kanidharau.ni sawa kweli jaman ama ni mim tu ndo nlikua nshaanza kuweka expectations.
Ebu tulia kwanza ufikishe hata robo karne. Miaka 22 unataka kuolewa?!! Kisa huyu kijana kwao matajiri. Ebu tumika tumika kwanza maatani olewa hata ukiwa na miaka 25. Sijui mnakimbilia nini.Habari wana JF
Mimi ni binti wa miaka 22. Nmemaliza elimu yangu ya shahada mwaka huu.Kuna jambo fulani limetokea kuniumiza sana labda kwasababu nilikuwa nmesha expect something.Kuna familia flan ivi tajiri na ni family friends wetu ilikuja nyumbani kwetu kwa lengo la kuomba uchumba kwa ajili ya kijana wao.
Kwakua bado nlikua cjamalizia semester yangu ya mwisho ili nihitimu chuo nikawaambia ngoja kwanza nimalize af mengne yatafata.Kijana akaja mpaka nyumbani kwetu tukaongea akaeleza jambo lake bac tukaendelea kuwasiliana.Mda kidogo ukapita ghafla akakata mawasiliano.Lakini ndugu zake bado walikua wananitafuta kuulizia kwamba tumefkia wap na ndugu yao nkawaambia ck izi hata siongei nae alisha acha kunitafuta.
Bac nkaona ngoja nimuulize muhusika nni kinaendelea ili nijue kama hii issue bado ipo ama laa ili niache kufikiria haya mambo. Bac nkamtua text ili kujua nni kinaendelea lakn hata hakunijibu. Sikupenda alichofanya nkamtumia tena texts na zinakua received watsap lakn anazikaushia tuu kunionesha kabsa ana ni ignore...
Sasa kwann asinieleze tu kwamba amechange mind ama hakunielewa jaman kuliko kuni ignore ivo af ukizingatia walikuja wenyewe mpaka hme kwetu wazazi wake na yeye af saiv ana ni treat kama vile si exist jaman yan kanidharau.ni sawa kweli jaman ama ni mim tu ndo nlikua nshaanza kuweka expectations.
Never go in so fast, so deep.Hapana kuwa ignored ndo imeniumiza halafu pia he already started openning up na kunieleza kwamba anaitaji niwe mke wake af ghafla akakata mawasiliano
Thankyu so muchHata don't be sad my dear Sis. At 22, your whole life awaits you.
Huwezi jua Mwenyezi Mungu kakuepusha na Nini.Kigezo Cha kutoka familia tahiti kusikupe presha. At 22 wewe mwenyewe ukisuka mipango vizuri huhitaji utajiri wa yeyote.
Usiwe na papara. Utampata uliemchagua mwenyewe kwa mapenzi yako mwenyewe and God will bless the union.
Huyo mwanamme akishasense unamtaka Sana, atakutumia uchakae na (Mungu aepushie )mimba juu. Piga moyo konde, delete all expectations and move on.
Saka maisha, saka hela yako mwenyewe Hawa wanaume wapo tu.
N/B
Hata tukizeeka tutawaoa wenyewe ilmradi tuna hela [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji2960][emoji2960][emoji2960] jokes.
Kwanini usiwaze masomo yako?? Kuna lolote uliloweka kwake?? Kwanini akuwazishe hivyo??Habari wana JF
Mimi ni binti wa miaka 22. Nmemaliza elimu yangu ya shahada mwaka huu.Kuna jambo fulani limetokea kuniumiza sana labda kwasababu nilikuwa nmesha expect something.Kuna familia flan ivi tajiri na ni family friends wetu ilikuja nyumbani kwetu kwa lengo la kuomba uchumba kwa ajili ya kijana wao.
Kwakua bado nlikua cjamalizia semester yangu ya mwisho ili nihitimu chuo nikawaambia ngoja kwanza nimalize af mengne yatafata.Kijana akaja mpaka nyumbani kwetu tukaongea akaeleza jambo lake bac tukaendelea kuwasiliana.Mda kidogo ukapita ghafla akakata mawasiliano.Lakini ndugu zake bado walikua wananitafuta kuulizia kwamba tumefkia wap na ndugu yao nkawaambia ck izi hata siongei nae alisha acha kunitafuta.
Bac nkaona ngoja nimuulize muhusika nni kinaendelea ili nijue kama hii issue bado ipo ama laa ili niache kufikiria haya mambo. Bac nkamtua text ili kujua nni kinaendelea lakn hata hakunijibu. Sikupenda alichofanya nkamtumia tena texts na zinakua received watsap lakn anazikaushia tuu kunionesha kabsa ana ni ignore...
Sasa kwann asinieleze tu kwamba amechange mind ama hakunielewa jaman kuliko kuni ignore ivo af ukizingatia walikuja wenyewe mpaka hme kwetu wazazi wake na yeye af saiv ana ni treat kama vile si exist jaman yan kanidharau.ni sawa kweli jaman ama ni mim tu ndo nlikua nshaanza kuweka expectations.
Huyo mtu wala humfahamu vema sasa ukitaka aishi kwa hisia zako utakuwa unajitesa bila sababuKabisa na mshkuru Mungu lakn atleast ata angeniweka wazi tu sio kuni ignore ivo haipendez maana walianzisha mada wenyewe wakaja hadi kwetu
KipenyoTuliza hicho kipenyo binti, wapo walio chumbiwa na kutokewa mahari na bado wakaachwa.
Kwanza umri wako bado mdogo sana, huu ni wakati wako mzuri sana wa kutafuta maisha yako na kuongeza bidii ili uwe na maisha mazuri. Binafsi nafikiri muda wako wa kutafunwa/kuolewa bado sana, tena haya mambo yasikuumize kwasababu hua hayalazimishwi mwali.
Ndoa kama inajuja, itakufuata popote ulipo.
Mkuu, huyu mwali naona analazimisha kujipea maradhi ya moyo akingali bado kigori...teh[emoji12]Kipenyo