Huyu mwanamke simuelewi, naomba ushauri

Huyu mwanamke simuelewi, naomba ushauri

wewe ebu wacha ujinga.....mwanamke ambae yupo chuo yuo katika stage ya ku taste migegedo. tulizana wewe jigegedee tuu hamna kitu hapo
 
Hapa Chief huyu dem kwako amejishkiza. Ni sawa na demu mwenye ndoto ya kuja kuolewa na mzungu, Anakuwa na wewe wakari anamsubili mzungu wake ndo maana hajapania kihivyo kuwa na wewe na amejua umekwama kwake huruki. Kuna wakati kwenye maisha inabidi kuamua kama unahisi uhusiano haukupi tija stahili
 
Nimeshawhi kuwa na manzi kama huyo yaani kila siku anabadilika badilika.full madoido ,maringo , aisee mwanaume nikaona sasa kweli mapenzi gereza maana nikawa mtumwa.Ikabd sasa niachane na moyo maana nilimpenda kweli.Nikazama ku kukusanya intel ndio nikajua kama ana mtu mwingine so i was posing as a plan b kwake in case her real man compromise, then nikapiga chini kiume and im happy mpaka leo na nimepata wife material anaenipenda.
So chukua hatua huyo mwanachuo hana malengo na wewe.
 
Kuna red flags nyingi tu huyo msichana anakuonyesha ila kutokana na kumpenda umejitia upofu.

Honestly I think amekuweka wewe ni wa by the way/reserve tu. She doesn't want to commit ila at the same time anakukeep close kwaajili ya just incase huko mbeleni. Ndo maana akuchezea hiyo michezo ya sitaki nataka.

Next time mtu akikukatalia, usiforce kingi. Madhara yake ndo haya.

My advice, find someone who is as committed in this, just as you are.
Yes.

Loving domeone shouldnt be that hard. It should be mutual
 
Kuna red flags nyingi tu huyo msichana anakuonyesha ila kutokana na kumpenda umejitia upofu.

Honestly I think amekuweka wewe ni wa by the way/reserve tu. She doesn't want to commit ila at the same time anakukeep close kwaajili ya just incase huko mbeleni. Ndo maana akuchezea hiyo michezo ya sitaki nataka.

Next time mtu akikukatalia, usiforce kingi. Madhara yake ndo haya.

My advice, find someone who is as committed in this, just as you are.
Asante fundi mwenzangu..umemaliza....lakini pia akitaka ambebe mazima inabidi ajue "loop and hook technique "
 
Story ya kwanza kuiamini JF hasa hili jukwaa

Kifupi wewe ni wa jazia twende, ametegesha mitego akimaliza shule akaona life halisongi na anajua uko vizuri hakika atabaki kwako kujiwekeza wekeza

huyo ukimwoa UTAPATA TABU SANA
 
Suala la kujuana na marafik au ndugu n suala la mtu mwenyewe mfano mm nilkuwa na privacy sana hamna rafk yangu au ndugu yangu tuliwah kuzungumzia suala la mahusiano mpaka namaliza chuo wengi walijua m cjawah kuwa kwenye mahusiano lakin kiukwel 'nilkuwepo kwenye mahusiano nilvomaliza form six,mtu wangu naye aliitaj utambulisho ila sikuwa na mihemko ya kumtambulisha mtu ambaye cjajua kama kwel yuko serious baada ya miaka mitatu nilweza kuanza utambulisho.ko hyo ishu inategemea na mtu mwenyewe ila nakushauri fanya huo mpango wako uone reaction
 
Mjomba meraki wajitesa bure achana nae in very rude way. Mie nilimwacha wangu kwa kumchapia mdogo wake
 
Duuh ulivomwambia asubiri ndoa, ni kwamba ulikuwa humpendi huyo mwanaume ndo maana ukamnyima papuchi, au ni kweli ulikuwa unataka kuja kuolewa nae. witnessj
Sikuwa namfeel so nikajua nikimwambia asubiri ndoa atasepa...kidume kikakomaa!

Baadae sana ikabidi nimwambie ukweli!
 
Wote hamjielewi ndo maana mnachezeana kihisia
 
Sikuwa namfeel so nikajua nikimwambia asubiri ndoa atasepa...kidume kikakomaa!

Baadae sana ikabidi nimwambie ukweli!


Nakuuliza hivyo maana kuna mdada nilimtongoza, kama kawaida alianza kunipiga mizinga/kuniomba pesa, nikajua automatically kuwa hapa sipendwi, nilimshangaa sana aliponiambia anataka nimuoe..lkn anasema papuchi atanipa nikimuoa, huyo mdada hata denda hajawahi kunipa, sanasana naambulia kiss za shavu tena kwa kuomba, ikabidi nimwambie huyo mdada ukweli, sahiv nimetemana nae nahic amani financially & emotionally...pheew witnessj
 
Habari za Jumamosi wakuu.

Niende moja kwa moja kwenye mada. Nina rafiki wa kike ambaye nishamweleza kinaga ubaga nia yangu ya kumuoa. Yeye ni mwanafunzi wa chuo na Mungu akipenda atahitimu mwakani miezi ya mwanzoni.

Kuna kitu kinanitatiza sana kuhusu yeye na mpaka sasa sielewi. Ni hivi, licha ya kwamba namhitaji kwa ajili ya ndoa na akashauri nimsubiri amalize masomo; mwezangu amekuwa msiri mno. Hapendi uhusiano wetu ufahamike kwa watu wake wa karibu. Mfano, nilikuwa na mawasiliano na dada yake lakini akanikataza kwa kuniomba nisiendelee kuwasiliana naye. Yaani niwe nampotezea, sababu dada yake ni mapepe kidogo. Binafsi sikuona sababu ya msingi ya kunifanya nimpotezee kabisa kabisa. Siku hizi sioni hata akinisalimu kama ilivyokuwa kawaida yake nahisi naye amemkataza kuwasiliana nami.....ingawa alikataa kuwa hajamuambia dadake afanye hivyo ila ni mimi tu ndio ameniomba nisitishe mawasiliano ya mara kwa mara.

Kingine ni katika mazungumzo yake hasa ya message baina yetu. Anaweza kusema "mimi atakayeniowa asifanye hivi au vile" wakati anajua kabisa mi huwa sifanyi hivyo. Mfano leo kasema "mwanaume akija kunichumbia akifanya......aende tu akaowe pengine, sio lazima anioe". Hapendi kuzungumzia our future. Ni kama yuko nami ila bado room iko wazi kama akija mwingine anaweza kuconsider, kutokana na hayo maneno yake yanayonirudia rudia. Alishawahi kumuonesha mama yake picha zangu na kumpa habari zangu. To the top of her CRAZINESS alimuonesha na pic ya jamaa mmoja yuko nje ya nchi ila anataka kurudi bongo akaomba atafutiwe mchumba msomi. Anti yake (binti) ndio alimpa habari hizi na akamuonesha picture (ya jamaa) naye akamuonesha mama yake. Mama yake wanted to know more about me kuliko mchizi wa nje. Story hii kaniambia yeye mwenyewe. I didn't buy the story though. Akiwa kwao mkoani huwa nampigia simu natafuta sababu (mfano akiwa anaumwa) niongee na mama yake ila huwa anakwepesha jambo hili.

Niwape kidogo kuhusu yeye. Mwanzo nilipimtongoza alikataa.....akisema tuwe marafiki tu wa kawaida. Kama mwanaume atampata tu atakapomaliza masomo na hajajua wazazi wake watampangia nani wa kumuowa. Nikakomaa kiume kweli kweli ndio akanielewa. Akawa mtu wangu wa karibu sana akanipa VITU vingi sana mpaka siri za familia yao na kuniamini sana. Kati kati hapo akayumba.....mapenzi yaliyumba mno. Akisingizia ni ubusy na masomo. Niliona huyu binti ni pasua kichwa. Nikapanga kumwacha aendelee na maisha yake, nikaanza kumpotezea pole pole nami nikijifanya niko busy na kazi zangu.

Alipoona reaction yangu hiyo...akajirudi na kuomba tuwe kama zamani. Na hapa naomba niwe wazi, siku moja tulikuwa tunapata chakula mahali fulani akaona kuna simu imeingia ikampa mashaka na niliyekuwa naongea naye. Hakuniuliza pale pale. Tulipoagana ndio akafunguka kuwa anahisi nina mtu, na roho inamuuma. Sikumficha....nilimuambia yule dada huwa ananisumbua na ni mtu mwenye wadhifa tu. Akahoji kwanini ananisumbua....nikamwambia yeye hudai nimekuwa mtu wa mawazo sana...so anataka kunijulia hali na kunifariji. Baada ya kisanga hiki ndipo akaona threat na kujirudi kwa kuomba msamaha kuwa ni kweli amekuwa mbali nami kiasi napata stress.

Ni mtu anayependa sana dini na ana misimamo, hili nalipenda bila shaka. Anapenda sana privacy na hana marafiki wengi. Sio muasherati hili nina uhakika nalo. Niseme ukweli, NAMPENDA SANA huyu binti na anajua hilo. Nimekuwa nikimsaidia hili na lile na sometimes naogopa kutumia pesa yangu nyingi kwake sababu sijamuamini bado. Simsomeshi, bali namsaidia kiasi ambacho am willing to loose. Naogopa kuja kulia baadaye. Na najiona kama nabet kwake juu ya hatma yetu.

Binafsi namuona bado hajafanya maamuzi rasmi ya kujicommit kwangu au bado hajakuwa kiakili....japo mi siamini to the latter. Nimepanga kumuambia kuwa nimefikiria tuachane nione reaction yake. Akinipa go ahead....I'll leave her for good. Niko tayari kwa lolote. I don't need to beg to be loved.

Unanishauri nini? Samahani kwa uzi mrefu.

Another piece of trash..
 
Huyo ananikumbusha enzi zangu za chuo na ubinti, nilikuwa na tabia za hivyo nikimpenda mtu instead kumuinyesha kwamba na mm nakupenda nilikuwa nafanya na kuongea vitu vya hovyo kama huyo binti, nikizani najilinda na kupima upendo wa mtu nilienae kumbe naharibu nikawa mtu wa kuachwa achwa tu ila nilipokuja kujitambua nikabadilika na ndoa nikapata. My point ni kwamba mara nyingi wasichana hufanya silly things when they r in love
 
What I can tell u hizi nafasi zinalufaa;
A substitute, spaire tyre, reserve tank, and the like
Naomba ujiongeze kiume anza kumpotezea in the way kwamba u talk to her the same way she talk to u. Kama yaani mwanamke nitakaye muoa atapata raha sana na sipendi awe hivi...........
The see her reaction. Utaona mwenyewe hawa viumbe huwa na roho nyepesi sana pale wanapoona maji yanakwenda mlama.
Don't bother u busy naye start delegating her from Ur mind for sure u will make it
 
Huna chako hapo ...sina la zaidi wanawake tuna hila nyingi kama hatumpendi mtu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom