Huyu mwanamke simuelewi, naomba ushauri

Huyu mwanamke simuelewi, naomba ushauri

1. Usijisumbue kumwelewa mwanamke, ukimpenda inatosha.
2. Mwanamke aliye chuoni bado yuko moto, lazima akusumbue tu. Huyo atakuja kutulia baada ya kumaliza chuo, miaka mitatu ya mtaani, ndiyo ataanza kueleweka, ila kwa sasa atakusumbua sana. Kuwa makini usije ukawaste time.
 
Ngoja nikuambia huyo binti kuna mambo mawili kati ya haya
1: Binti bado hayupo committed kwako labda still hakuamini bado
2: binti anaonekana hakupendi hyupo tayari kuwa na wewe na inaonekana yupo na wewe kama mazoea tuu but her heart haupo kwako.

So make your choice but usikurupukee.
 
Mwanamke haachwi kwa kumuambia man to man mzebaba.
Mwanamke anaachwa slowly hadi asijue asikumbuke sababu ilikuwa ni nini.
Usimwambie kosa akajifunza coz You ain't there to train them do their future life mzee kwan wewe ni chuo ya mapenzi?
Sorry kwa ushauri mrefu,umenisamehe?
 
Mkuu kudate tu na madem wa skuiz haswa wa kwetu akikwambia nakupenda unampenda haimaanishi uko pekeyako,pia mwanamke ukimwambia utamuoa sio sababu ya kujicommite kwako na maisha yote sisi wanaume tukiamua kua dem flani utamuoa bas unakua na uhakika wa kufanya hivyo ila wao hata kma yuko na wew ukamwambia ntakuoa hakuamini mpka aone ile siku umeenda kwao kutoa posa. Kwaio kaka kma unataka kweli fika kwao ndio utajua anakupenda hakupendi bila hvyo mmoja wapo atamdanganya mwenzake.
 
Mwanamke haachwi kwa kumuambia man to man mzebaba.
Mwanamke anaachwa slowly hadi asijue asikumbuke sababu ilikuwa ni nini.
Usimwambie kosa akajifunza coz You ain't there to train them do their future life mzee kwan wewe ni chuo ya mapenzi?
Sorry kwa ushauri mrefu,umenisamehe?
Wewe umenipa akili kubwa zaidi. Thanks bro.
 
We jamaa haupo vizur upstairs maana umetoa solution af unaomba ushaur
 
Kuna red flags nyingi tu huyo msichana anakuonyesha ila kutokana na kumpenda umejitia upofu.

Honestly I think amekuweka wewe ni wa by the way/reserve tu. She doesn't want to commit ila at the same time anakukeep close kwaajili ya just incase huko mbeleni. Ndo maana akuchezea hiyo michezo ya sitaki nataka.

Next time mtu akikukatalia, usiforce kingi. Madhara yake ndo haya.

My advice, find someone who is as committed in this, just as you are.
Well said mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom