Huyu mwanamke simuelewi, naomba ushauri

Huyu mwanamke simuelewi, naomba ushauri

Duh..hivi huyo mwanamke ulitongoza au ulitongozewa ??yani ile ya fulani mwanamke mwenyewe ndie huyu malizana nae
 
yaani mechi ya madrid na mbeya city wewe umebet eti mbeya city atashinda.Kwa ufupi hupendwi najisikia uchungu kukwambia ukweli huu ila no way mkuu
 
Kwa kifupi wewe ni second selection sasa ili kuforce uwe 1st selection mpige mimba kabla hajamaliza chuo
 
We ni fala eti?
mkuu samahani punguza rude reaction kumbuka wewe ndio mwenye uzi lazima uwe tofauti na sisi wachangiaji.Jitahidi kupotezea baadhi ya comment ingawa ni kweli kuna watu wanakera ila vumilia tu.mwisho kabisa epuka matusi yanashusha heshima yako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom