Jimmie Gatsby
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 3,588
- 7,287
Yes..kwa rafiki atakuonesha but kwa ndugu never ever
Ila wanaume wengine hawajali ndugu utawajua though hakupendi![]()
Wanaume wamepinda!
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
Yes..kwa rafiki atakuonesha but kwa ndugu never ever
Ila wanaume wengine hawajali ndugu utawajua though hakupendi![]()
Wanaume wamepinda!
Wa hivi hawanaga akili hiyo.
Niamini mimi
Hata akikuta unakamuliwa ataomba msamaha
haaaahaaaa...we unawajua wanaume vizuri!Kuliko mata.ko yangu![]()
![]()
![]()
haaaahaaaa...we unawajua wanaume vizuri!
HaaahaaaKuliko mata.ko yangu
Truth. Ukiona demu ana sitaki nataka nyingi mteme. jiepushe nae maana msimamo hawana.Kuna red flags nyingi tu huyo msichana anakuonyesha ila kutokana na kumpenda umejitia upofu.
Honestly I think amekuweka wewe ni wa by the way/reserve tu. She doesn't want to commit ila at the same time anakukeep close kwaajili ya just incase huko mbeleni. Ndo maana akuchezea hiyo michezo ya sitaki nataka.
Next time mtu akikukatalia, usiforce kingi. Madhara yake ndo haya.
My advice, find someone who is as committed in this, just as you are.
Fact. Na reality ikiwatandika ndio wanaanza kutoa milioMademu wa chuo huwaga wanahisi wana options nyingi na the world full of good stuff ina wasubiri wakimaliza chuo. Ila waki maliza wengi kitaa kina wanyoosha wana get back to reality. Naongea kwa uzoefu
I wanna play smart here.Upo katka wakati mgumu ila ndio muda sahihi wa kujua kua unapopanda kuna rutuba! Ya kuufanya mmea kukua vizuri. Jaribu kumwambia kua unahisi kwa sasa ni muda sahihi wa wewe kupeleka posa kwao ili akimaliza shule akute baadhi ya taratibu umeshazimaliza za kuwawezesha kuishi pamoja kama wanandoa rasmi na Umsikilize atasemaje hii itakusaidia kutoa uamuzi sahihi. ila kumbuka usimpe nafasi ya kua yeye kua ndio sababu ya kuachana
Lakini papuch ulimpaHuo ndo ukweli mkuu...ukiona mwanamke hataki ujuane tu ndugu zake/ marafiki ( maana sisi huwa wa kwanza viherehere wa kutambulisha wabebez kwa rafiki, ndugu)....hiyo ni dalili primary kabisa kuwa hupendwi!
Nilishafanyaga hiki kitu ndo maana nakijua mkuu
Sikumpa...nilimwambia asubiri ndoa!Lakini papuch ulimpa
basis nipe mimiSikumpa...nilimwambia asubiri ndoa!
Khaaaaabasis nipe mimi
eeh hamna namna sasaKhaaaaa
Mkuu sijasema kama sijamla. Nimesema amenipa vitu vingi.....umenielewa hapo?Hamka ndg unachezewa akili sasa mtu unataka kumuoa na yeye yupo tayari hata kwenda kutoa posa ujaenda unategemea nini hapo tambua kibarua chako kimeota nyasi
Pia mwanamke ambeye wewe unamfukuzia miezi mpaka 6 ujapewa papuch bado kuna wenzio wanatongoza leo kesho kutwa wanavuliwa chupi wewe bado tu unasubili Dadeq
Mkuu namkulaga several times.Hamka ndg unachezewa akili sasa mtu unataka kumuoa na yeye yupo tayari hata kwenda kutoa posa ujaenda unategemea nini hapo tambua kibarua chako kimeota nyasi
Pia mwanamke ambeye wewe unamfukuzia miezi mpaka 6 ujapewa papuch bado kuna wenzio wanatongoza leo kesho kutwa wanavuliwa chupi wewe bado tu unasubili Dadeq