Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,450
- 25,162
NakaziaKiufupi hupendwi....so sepa fasta au subiri kilio kimoja hivi amazing
NakaziaKiufupi hupendwi....so sepa fasta au subiri kilio kimoja hivi amazing
Hukosi hapa[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nakazia
Utaambiwa " acha kumharibia mwenzako" [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huna chako hapo ...sina la zaidi wanawake tuna hila nyingi kama hatumpendi mtu
Nakosaje kwa mfano hahahahaHukosi hapa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Simuharibii wanawake ndivyo tulivyo....me mwenyew kuna MTU sasa hivi namfanyia hivyohvyo ......nasubiri akinipa nnachotaka tu baaasiiii kwisha kazi yakeUtaambiwa " acha kumharibia mwenzako" [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji91] [emoji91] [emoji122] [emoji122]Nakosaje kwa mfano hahahaha
Haahaaa....utapata dhambi[emoji23]Simuharibii wanawake ndivyo tulivyo....me mwenyew kuna MTU sasa hivi namfanyia hivyohvyo ......nasubiri akinipa nnachotaka tu baaasiiii kwisha kazi yake
Wacha nipate tu buaaana we lakini hivyo nitafanyaHaahaaa....utapata dhambi[emoji23]
Jamaa ako atakoma maana we demu ni umedata ( joke) haaahaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wacha nipate tu buaaana we lakini hivyo nitafanya
Hahahahaha nimedata kweli sio utani ujue .....ukiona sasa utacheka kufaaaa mfupi kama mojaJamaa ako atakoma maana we demu ni umedata ( joke) haaahaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Duh! Kwa hii makala yako ngoja kwanza nipate kvant moja halafu nitacome back.Tusubiri waje
Kusanya kila kilicho chako uanze safari nyingine
Bwaaaahaaaahaaaa....wafupi huwa wabishi kinoma[emoji23] [emoji23] [emoji91] [emoji91]Hahahahaha nimedata kweli sio utani ujue .....ukiona sasa utacheka kufaaaa mfupi kama moja
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] jaman dahBwaaaahaaaahaaaa....wafupi huwa wabishi kinoma[emoji23] [emoji23] [emoji91] [emoji91]
Huwaga nakukubali, nikionaga comment yako nafurahi hata kabla sijaisoma!