witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,839
- 47,747
Wanaopitiaga status zangu WhatsApp huwa wananiuliza navuta bangi??? Hahahahaha yani huwa napost kitu hiko me mwenyew huwa nachekaaaa then nakipost dah maisha hayaHaahaaa![]()
![]()
Hahaa haahaa haaahaa...that's y i like you!Wanaopitiaga status zangu WhatsApp huwa wananiuliza navuta bangi??? Hahahahaha yani huwa napost kitu hiko me mwenyew huwa nachekaaaa then nakipost dah maisha haya
Katika hii dunia ukitaka kufake vitu utapata tabu sana cha msingi we jikubali tu mwagika uwezavyo ilimradi tu huchukui cha mtu basi ...maisha mafupi mno ya nini kujipa stress zisizokua na msingi wowote......relaxHahaa haahaa haaahaa...that's y i like you!
Hufake life ni unajipa raha mwenyewe, ndo maana status na dp zako zinakuchana mbavu mwenyewe![]()
![]()
Serious napenda watu wanaojikubali
Sure sure....asee kati ya vitu sipendi humu duniani ni kumpa mtu stress or anipe mimi!Katika hii dunia ukitaka kufake vitu utapata tabu sana cha msingi we jikubali tu mwagika uwezavyo ilimradi tu huchukui cha mtu basi ...maisha mafupi mno ya nini kujipa stress zisizokua na msingi wowote......relax
...Hakuna atakayekuja kukupa furaha.....furaha ya kweli inatokana na wewe mwenyeweSure sure....asee kati ya vitu sipendi humu duniani ni kumpa mtu stress or anipe mimi!
I love peace, raha then life goes on, mambo ya kutibuana tibuana aaagh! Full kichefuchefu...
Halafu furaha unajipa mwenyewe ujue? Ukisubiri kupewa imekula kwako!
Ok ni hivi " huyo meraki ana demu but demu ana mshikaji yuko abroad ( na ndo demu anayemkubali, si unajua shobo za wadada wa kiswazi kupenda mambo ya nje)aliyesoma hii nyuz afupishe maneno yasiyo zidi 10,
Kama Meraki hajakuelewa hapa basi anatafuta kufa mapema. Umetoa ushauri mnene na umezingatia sana maelezo/ historia ya mlengwa. Huo ndo ukweliKuna red flags nyingi tu huyo msichana anakuonyesha ila kutokana na kumpenda umejitia upofu.
Honestly I think amekuweka wewe ni wa by the way/reserve tu. She doesn't want to commit ila at the same time anakukeep close kwaajili ya just incase huko mbeleni. Ndo maana akuchezea hiyo michezo ya sitaki nataka.
Next time mtu akikukatalia, usiforce kingi. Madhara yake ndo haya.
My advice, find someone who is as committed in this, just as you are.
Habari za Jumamosi wakuu.
Niende moja kwa moja kwenye mada. Nina rafiki wa kike ambaye nishamweleza kinaga ubaga nia yangu ya kumuoa. Yeye ni mwanafunzi wa chuo na Mungu akipenda atahitimu mwakani miezi ya mwanzoni.
Kuna kitu kinanitatiza sana kuhusu yeye na mpaka sasa sielewi. Ni hivi, licha ya kwamba namhitaji kwa ajili ya ndoa na akashauri nimsubiri amalize masomo; mwezangu amekuwa msiri mno. Hapendi uhusiano wetu ufahamike kwa watu wake wa karibu. Mfano, nilikuwa na mawasiliano na dada yake lakini akanikataza kwa kuniomba nisiendelee kuwasiliana naye. Yaani niwe nampotezea, sababu dada yake ni mapepe kidogo. Binafsi sikuona sababu ya msingi ya kunifanya nimpotezee kabisa kabisa. Siku hizi sioni hata akinisalimu kama ilivyokuwa kawaida yake nahisi naye amemkataza kuwasiliana nami.....ingawa alikataa kuwa hajamuambia dadake afanye hivyo ila ni mimi tu ndio ameniomba nisitishe mawasiliano ya mara kwa mara.
Kingine ni katika mazungumzo yake hasa ya message baina yetu. Anaweza kusema "mimi atakayeniowa asifanye hivi au vile" wakati anajua kabisa mi huwa sifanyi hivyo. Mfano leo kasema "mwanaume akija kunichumbia akifanya......aende tu akaowe pengine, sio lazima anioe". Hapendi kuzungumzia our future. Ni kama yuko nami ila bado room iko wazi kama akija mwingine anaweza kuconsider, kutokana na hayo maneno yake yanayonirudia rudia. Alishawahi kumuonesha mama yake picha zangu na kumpa habari zangu. To the top of her CRAZINESS alimuonesha na pic ya jamaa mmoja yuko nje ya nchi ila anataka kurudi bongo akaomba atafutiwe mchumba msomi. Anti yake (binti) ndio alimpa habari hizi na akamuonesha picture (ya jamaa) naye akamuonesha mama yake. Mama yake wanted to know more about me kuliko mchizi wa nje. Story hii kaniambia yeye mwenyewe. I didn't buy the story though. Akiwa kwao mkoani huwa nampigia simu natafuta sababu (mfano akiwa anaumwa) niongee na mama yake ila huwa anakwepesha jambo hili.
Niwape kidogo kuhusu yeye. Mwanzo nilipimtongoza alikataa.....akisema tuwe marafiki tu wa kawaida. Kama mwanaume atampata tu atakapomaliza masomo na hajajua wazazi wake watampangia nani wa kumuowa. Nikakomaa kiume kweli kweli ndio akanielewa. Akawa mtu wangu wa karibu sana akanipa VITU vingi sana mpaka siri za familia yao na kuniamini sana. Kati kati hapo akayumba.....mapenzi yaliyumba mno. Akisingizia ni ubusy na masomo. Niliona huyu binti ni pasua kichwa. Nikapanga kumwacha aendelee na maisha yake, nikaanza kumpotezea pole pole nami nikijifanya niko busy na kazi zangu.
Alipoona reaction yangu hiyo...akajirudi na kuomba tuwe kama zamani. Na hapa naomba niwe wazi, siku moja tulikuwa tunapata chakula mahali fulani akaona kuna simu imeingia ikampa mashaka na niliyekuwa naongea naye. Hakuniuliza pale pale. Tulipoagana ndio akafunguka kuwa anahisi nina mtu, na roho inamuuma. Sikumficha....nilimuambia yule dada huwa ananisumbua na ni mtu mwenye wadhifa tu. Akahoji kwanini ananisumbua....nikamwambia yeye hudai nimekuwa mtu wa mawazo sana...so anataka kunijulia hali na kunifariji. Baada ya kisanga hiki ndipo akaona threat na kujirudi kwa kuomba msamaha kuwa ni kweli amekuwa mbali nami kiasi napata stress.
Ni mtu anayependa sana dini na ana misimamo, hili nalipenda bila shaka. Anapenda sana privacy na hana marafiki wengi. Sio muasherati hili nina uhakika nalo. Niseme ukweli, NAMPENDA SANA huyu binti na anajua hilo. Nimekuwa nikimsaidia hili na lile na sometimes naogopa kutumia pesa yangu nyingi kwake sababu sijamuamini bado. Simsomeshi, bali namsaidia kiasi ambacho am willing to loose. Naogopa kuja kulia baadaye. Na najiona kama nabet kwake juu ya hatma yetu.
Binafsi namuona bado hajafanya maamuzi rasmi ya kujicommit kwangu au bado hajakuwa kiakili....japo mi siamini to the latter. Nimepanga kumuambia kuwa nimefikiria tuachane nione reaction yake. Akinipa go ahead....I'll leave her for good. Niko tayari kwa lolote. I don't need to beg to be loved.
Unanishauri nini? Samahani kwa uzi mrefu.
MmmmhWEWE NDO HUJIELEWI!!
mtu anakuonyesha kabisa kabisa asivyo tayari bado unaamini yupo tayari ila hataki kuwa tayari !!
Ah
kweli nakupata kabisa cupo muhas ?au nije pm tuyajenge kidgoAcha uwongoo!
Ngoja nikupatie ushauri,ila ningeomba kufahamu yafuatayo 1.Je bado ni bikra i mean umewahi kumuuliza hilo swali 2.Je katika uhusiano wenu unapokuwa naye hata kwa masaa 6 reaction ya simu yake ikoje yuko busy na cm au kawaida tu ina maana anapoenda nje au mahali hutembea na simu yake huwa aniacha 3.umewahi kumwambia kuwa hiyo tabia ya kukuzuia usizungumze na ndugu huipendi akasemaje 4.unaonae ukimwambia kuwa malengo yako ni kuwa na binti utakayeanza naye uhusiano na ndani ya miezi 6 iwe imeshajulikana kama ni yeye aseme yuko tayari na kama hayuko tayari akuruhusu uendelee na program zako ,,,bro hawa mabinti sio wa kuwaaamini kabisa ni mama zetu ,dada zetu lakini wanaweza kukuua kwa ajili ya mawazo na stress huku wao wakinenepeana,kuwa makini sana,muulize hayo maswali ukiona hakujibu kama unavyodhani mpe makavu live kuwa kuanzia sasa we na ye msiwe na uhusiano kwani huoni faida,baada ya hapo mchunie kama wiki 2 yaan kavu japo ni vigumu ila usipokee cm yake wala usimpigie wala kumjibu msg,utagundua kitu kama anakupenda lazima aje kwa kasi na akija mpe terms and conditons zako ukiwa seriuos,la sivyo kama huwezi basi achana na mapenzi tafuta pesa kwanza,mpende mama yako na nduguzako bila kumsahau MunguHabari za Jumamosi wakuu.