Acha wivu wewe!Mkuu fanya maamuzi mengine hakuna mchumba hapo hupendwi utapata tabu sana baadae
Ila dada ana akili sana.Kuna red flags nyingi tu huyo msichana anakuonyesha ila kutokana na kumpenda umejitia upofu.
Honestly I think amekuweka wewe ni wa by the way/reserve tu. She doesn't want to commit ila at the same time anakukeep close kwaajili ya just incase huko mbeleni. Ndo maana akuchezea hiyo michezo ya sitaki nataka.
Next time mtu akikukatalia, usiforce kingi. Madhara yake ndo haya.
My advice, find someone who is as committed in this, just as you are.
Wee utakuwa na akili ya ziada...kumbe kuna kitu umeona eeh?Ila dada ana akili sana.
Anatumia akili badala ya hisia.
Of which wanawake wengi hatuna na tunalia lia.
Dada ana akili ya kiume ambayo ni nzuri sana.Nimempenda.
Kuna red flags nyingi tu huyo msichana anakuonyesha ila kutokana na kumpenda umejitia upofu.
Honestly I think amekuweka wewe ni wa by the way/reserve tu. She doesn't want to commit ila at the same time anakukeep close kwaajili ya just incase huko mbeleni. Ndo maana akuchezea hiyo michezo ya sitaki nataka.
Next time mtu akikukatalia, usiforce kingi. Madhara yake ndo haya.
My advice, find someone who is as committed in this, just as you are.
Mademu wa chuo huwaga wanahisi wana options nyingi na the world full of good stuff ina wasubiri wakimaliza chuo. Ila waki maliza wengi kitaa kina wanyoosha wana get back to reality. Naongea kwa uzoefu
Poa mkuu. Shukrani sana.Kuna red flags nyingi tu huyo msichana anakuonyesha ila kutokana na kumpenda umejitia upofu.
Honestly I think amekuweka wewe ni wa by the way/reserve tu. She doesn't want to commit ila at the same time anakukeep close kwaajili ya just incase huko mbeleni. Ndo maana akuchezea hiyo michezo ya sitaki nataka.
Next time mtu akikukatalia, usiforce kingi. Madhara yake ndo haya.
My advice, find someone who is as committed in this, just as you are.
Kiufupi hupendwi....so sepa fasta au subiri kilio kimoja hivi amazing
Kuwekwa spare part ni nini? Huko ndo kutopendwa kwenyewe sasa mkuu...I don't think kama hapendwi ila nadhani anachukuliwa kama spare part uyo mwenye mali akizungua mzee baba ndo anatafutwa
Inshort mwana ni plan B
Nashukuru sana. Biblia ishasema mtoto boya ni hasara kwa mama yake na mtoto mwerevu ni faida kwa dingi yake. Ni mama tu ndio hutupa moyo na kututetea yanapotokea majanga. Sitaki mabaya yanikuteKila jambo litakalotokea huwa na dalili zake na huwa tunazijua ila ni dharau na kiburi chetu binaadam ndicho kinachotufanya tuwe pabaya
Ushaona dalili za wazi kwa uyo mwanamke za kutokukuhitaji. Unasubir nini kubadiri uelekeo
Hakika mkuuMademu wa chuo huwaga wanahisi wana options nyingi na the world full of good stuff ina wasubiri wakimaliza chuo. Ila waki maliza wengi kitaa kina wanyoosha wana get back to reality. Naongea kwa uzoefu
Uko sawa kabisa mkuuKuna red flags nyingi tu huyo msichana anakuonyesha ila kutokana na kumpenda umejitia upofu.
Honestly I think amekuweka wewe ni wa by the way/reserve tu. She doesn't want to commit ila at the same time anakukeep close kwaajili ya just incase huko mbeleni. Ndo maana akuchezea hiyo michezo ya sitaki nataka.
Next time mtu akikukatalia, usiforce kingi. Madhara yake ndo haya.
My advice, find someone who is as committed in this, just as you are.
Mungu aliumba dunia, mapenzi tangu na tangu.....
![]()
siwezi kung'ang'ania labda sio fungi langu...