Jimmie Gatsby
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 3,588
- 7,287
Kuwekwa spare part ni nini? Huko ndo kutopendwa kwenyewe sasa mkuu...
Mi ni ke i know!
hakunaga mawazo ninayoyaheshimu kama mtoto wa kike akichambua mambo ya mtoto wa kike mwenzake
Kuwekwa spare part ni nini? Huko ndo kutopendwa kwenyewe sasa mkuu...
Mi ni ke i know!
Nawaza kwa mbali...hata huyo dada akikubali mshkaji aende kwa wazazi wake ( by forcing) hawataishi maisha mazuri!Ushauri wangu ni uwe na maamuzi ya kiume
Mwambie unataka uwende kwao ukajuane na wazazi wake akikataa tu kwa kigezo cha muda bado mkuu usirudi nyuma piga chini haraka sana songa mbele
WellNoo! La kufanya nimeliweka hapo chini. Nasubiri muda sahihi wa kufanya hivyo.
Cha kufanya ni kufight kwa nguvu zote ule mzigo kwanza usije toka kapa yaani ukakosa vyote mzee baba.Nashukuru sana. Biblia ishasema mtoto boya ni hasara kwa mama yake na mtoto mwerevu ni faida kwa dingi yake. Ni mama tu ndio hutupa moyo na kututetea yanapotokea majanga. Sitaki mabaya yanikute
Huo ndo ukweli mkuu...ukiona mwanamke hataki ujuane tu ndugu zake/ marafiki ( maana sisi huwa wa kwanza viherehere wa kutambulisha wabebez kwa rafiki, ndugu)....hiyo ni dalili primary kabisa kuwa hupendwi!hakunaga mawazo ninayoyaheshimu kama mtoto wa kike akichambua mambo ya mtoto wa kike mwenzake
Jamaa inabidi akubali auimbe huu wimbo hadi mwisho...mapenzi hayalazimishwi.siwezi kung'ang'ania labda sio fungi langu...
Kuwekwa spare part ni nini? Huko ndo kutopendwa kwenyewe sasa mkuu...
Mi ni ke i know!
Huo ndo ukweli mkuu...ukiona mwanamke hataki ujuane tu ndugu zake/ marafiki ( maana sisi huwa wa kwanza viherehere wa kutambulisha wabebez kwa rafiki, ndugu)....hiyo ni dalili primary kabisa kuwa hupendwi!
Nilishafanyaga hichi kitu ndo maana nakijua mkuu
Kwa kweli, dalili ya mvua ni mawingu.Jamaa inabudi akubali auimbe huu wimbo hadi mwisho...mapenzi hayalazimishwi.
Umeona eeeh?...same samekweli kabisa hii kitu hata kwetu (ME) ipo yule ambaye huna plan naye huwa hatutaki kabisa afahamike katika ile inner circle yetu

Nawaza kwa mbali...hata huyo dada akikubali mshkaji aende kwa wazazi wake ( by forcing) hawataishi maisha mazuri!
Ujue ukishaona mahali hupendwi jitoe tu, utaumia kwa mda but ukirecover utajiona ulifanya jambo la mbolea mnoo
Nimeona mwana waneWee utakuwa na akili ya ziada...kumbe kuna kitu umeona eeh?![]()
![]()
![]()
Hajakaa kifala fala huyo bidada!
Haaahaa....nimempenda bureNimeona mwana wane
Nampa tano!
Hatokaa aumie...anajiwahi kabla hajawahiwa.
Anatumia akili sana.Anajiwekea options
Ana akili kubwaz huyoHaaahaa....nimempenda bure
Wadada wengi akili kubwa hizi huwa hatuna!
Mkuu sina mashaka na tabia zake wala kichwa chake. Yuko smart sana. Shida yake ni hiyo amenifanya mimi plan BPole sana mkuu, next time kwenye maamuzi yako use unamshirikisha Mungu, hawa wanawake wa siku hizi hawaeleweki, usije ukanuona mwanamke kwa sura na umbo anavutia ukaona anakufaa uwe unawachunguza na kichwani wapo smart kiasi gani, mzuri kwa nje lakini kichwani amna kitu, wapo wengi hata mavyuoni anajiita msomi lakini anavaa nisu utupu anaingia darasani,
Haaahaaa...we jamaa hauko serious!Witty njoo basi PM