Huyu mwanamke simuelewi, naomba ushauri

Huyu mwanamke simuelewi, naomba ushauri

Umeona eeeh?...same same

Unakaa na mwanaume hujui rafiki yake wala ndugu yake afuu eti unajitia unapendwa! Nacheka kinyarwanda
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ila sisi wanaume tutakutambulisha hata kwa friends zetu na shem darling watakuita ila ukweli wanajua kuwa mchizi ana main chick wake

ila side chick kamwe kwa ndugu huwa hafiki ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Nami nilikuwa ivoivo kama sina future na mtu.. kiufupi huyo hataki aolewe nawe... UTAPATA TABU SANA
 
Hii ndo Tanzania ya uchumi wa kati wa viwanda tuitakayo..
 
Habari za Jumamosi wakuu.

Niende moja kwa moja kwenye mada. Nina rafiki wa kike ambaye nishamweleza kinaga ubaga nia yangu ya kumuoa. Yeye ni mwanafunzi wa chuo na Mungu akipenda atahitimu mwakani miezi ya mwanzoni.

Kuna kitu kinanitatiza sana kuhusu yeye na mpaka sasa sielewi. Ni hivi, licha ya kwamba namhitaji kwa ajili ya ndoa na akashauri nimsubiri amalize masomo; mwezangu amekuwa msiri mno. Hapendi uhusiano wetu ufahamike kwa watu wake wa karibu. Mfano, nilikuwa na mawasiliano na dada yake lakini akanikataza kwa kuniomba nisiendelee kuwasiliana naye. Yaani niwe nampotezea, sababu dada yake ni mapepe kidogo. Binafsi sikuona sababu ya msingi ya kunifanya nimpotezee kabisa kabisa. Siku hizi sioni hata akinisalimu kama ilivyokuwa kawaida yake nahisi naye amemkataza kuwasiliana nami.....ingawa alikataa kuwa hajamuambia dadake afanye hivyo ila ni mimi tu ndio ameniomba nisitishe mawasiliano ya mara kwa mara.

Kingine ni katika mazungumzo yake hasa ya message baina yetu. Anaweza kusema "mimi atakayeniowa asifanye hivi au vile" wakati anajua kabisa mi huwa sifanyi hivyo. Mfano leo kasema "mwanaume akija kunichumbia akifanya......aende tu akaowe pengine, sio lazima anioe". Hapendi kuzungumzia our future. Ni kama yuko nami ila bado room iko wazi kama akija mwingine anaweza kuconsider, kutokana na hayo maneno yake yanayonirudia rudia. Alishawahi kumuonesha mama yake picha zangu na kumpa habari zangu. To the top of her CRAZINESS alimuonesha na pic ya jamaa mmoja yuko nje ya nchi ila anataka kurudi bongo akaomba atafutiwe mchumba msomi. Anti yake (binti) ndio alimpa habari hizi na akamuonesha picture (ya jamaa) naye akamuonesha mama yake. Mama yake wanted to know more about me kuliko mchizi wa nje. Story hii kaniambia yeye mwenyewe. I didn't buy the story though. Akiwa kwao mkoani huwa nampigia simu natafuta sababu (mfano akiwa anaumwa) niongee na mama yake ila huwa anakwepesha jambo hili.

Niwape kidogo kuhusu yeye. Mwanzo nilipimtongoza alikataa.....akisema tuwe marafiki tu wa kawaida. Kama mwanaume atampata tu atakapomaliza masomo na hajajua wazazi wake watampangia nani wa kumuowa. Nikakomaa kiume kweli kweli ndio akanielewa. Akawa mtu wangu wa karibu sana akanipa VITU vingi sana mpaka siri za familia yao na kuniamini sana. Kati kati hapo akayumba.....mapenzi yaliyumba mno. Akisingizia ni ubusy na masomo. Niliona huyu binti ni pasua kichwa. Nikapanga kumwacha aendelee na maisha yake, nikaanza kumpotezea pole pole nami nikijifanya niko busy na kazi zangu.

Alipoona reaction yangu hiyo...akajirudi na kuomba tuwe kama zamani. Na hapa naomba niwe wazi, siku moja tulikuwa tunapata chakula mahali fulani akaona kuna simu imeingia ikampa mashaka na niliyekuwa naongea naye. Hakuniuliza pale pale. Tulipoagana ndio akafunguka kuwa anahisi nina mtu, na roho inamuuma. Sikumficha....nilimuambia yule dada huwa ananisumbua na ni mtu mwenye wadhifa tu. Akahoji kwanini ananisumbua....nikamwambia yeye hudai nimekuwa mtu wa mawazo sana...so anataka kunijulia hali na kunifariji. Baada ya kisanga hiki ndipo akaona threat na kujirudi kwa kuomba msamaha kuwa ni kweli amekuwa mbali nami kiasi napata stress.

Ni mtu anayependa sana dini na ana misimamo, hili nalipenda bila shaka. Anapenda sana privacy na hana marafiki wengi. Sio muasherati hili nina uhakika nalo. Niseme ukweli, NAMPENDA SANA huyu binti na anajua hilo. Nimekuwa nikimsaidia hili na lile na sometimes naogopa kutumia pesa yangu nyingi kwake sababu sijamuamini bado. Simsomeshi, bali namsaidia kiasi ambacho am willing to loose. Naogopa kuja kulia baadaye. Na najiona kama nabet kwake juu ya hatma yetu.

Binafsi namuona bado hajafanya maamuzi rasmi ya kujicommit kwangu au bado hajakuwa kiakili....japo mi siamini to the latter. Nimepanga kumuambia kuwa nimefikiria tuachane nione reaction yake. Akinipa go ahead....I'll leave her for good. Niko tayari kwa lolote. I don't need to beg to be loved.

Unanishauri nini? Samahani kwa uzi mrefu.

sasa mkuu umeshasema unampenda na penzi ni upofu na kwa sifa hizo na huo uzi uliondika wew umekufa umeozaaa ushauri tu mpende tu ila usipend san kujua mambo yake yatakuumiza na utapata nini unataka
 
Mwanamke akiwa na nia ya kuolewa cha kwanza atahitaji akutambulishe kwao,mjuane na ndugu,rafiki zake n.k.ukiona hataki izo apo mguu pande mguu sawa.kingine angalia course anayosoma na sijui uko wapi.atakuja kupata kazi mikoa kama 10 kutoka ulipo na ujulikani kwao akiondoka tu siku anarudi maajabu yako yote ni tumbo kuongezeka,so nakushauri Fanya uamzi mapema wa kumwambia ukajitambulishe kwao na ata akikubali ila akavunja ahadi basi hilo huwa ni mkosi na laana kumkimbia mtu ambae ushamwaidi kuona,then utapata jibu kamili.alafu uje utujuze kasemaje after that
 
Ushafikiria kuchana nae, means umeshindwana nae...

Hakuna cha kukushauri kwa sababu maamuzi tayari unayo...

Cc: mahondaw
 
mkishauliwa mnakuwa na maamuzi tayali kifuani ndomaana watu wengine humu hawachangii.Huyo mdada anataka kucheza kotekote,Moyo wake uko kwa huyo jamaa wa nje lakini hana uhakika kama jamaa atamkubali kwa mikono miwili ndo maana hataki wewe kukupoteza ili uwe spea yake.Akili kichwani mwako
Mkishauliwa=mkishauriwa
Tayali= tayari
Ni hayo tu kwa leo.
 
ila sisi wanaume tutakutambulisha hata kwa friends zetu na shem darling watakuita ila ukweli wanajua kuwa mchizi ana main chick wake

ila side chick kamwe kwa ndugu huwa hafiki
Yes..kwa rafiki atakuonesha but kwa ndugu never ever

Ila wanaume wengine hawajali ndugu utawajua though hakupendi

Wanaume wamepinda!
 
Habari za Jumamosi wakuu.

Niende moja kwa moja kwenye mada. Nina rafiki wa kike ambaye nishamweleza kinaga ubaga nia yangu ya kumuoa. Yeye ni mwanafunzi wa chuo na Mungu akipenda atahitimu mwakani miezi ya mwanzoni.

Kuna kitu kinanitatiza sana kuhusu yeye na mpaka sasa sielewi. Ni hivi, licha ya kwamba namhitaji kwa ajili ya ndoa na akashauri nimsubiri amalize masomo; mwezangu amekuwa msiri mno. Hapendi uhusiano wetu ufahamike kwa watu wake wa karibu. Mfano, nilikuwa na mawasiliano na dada yake lakini akanikataza kwa kuniomba nisiendelee kuwasiliana naye. Yaani niwe nampotezea, sababu dada yake ni mapepe kidogo. Binafsi sikuona sababu ya msingi ya kunifanya nimpotezee kabisa kabisa. Siku hizi sioni hata akinisalimu kama ilivyokuwa kawaida yake nahisi naye amemkataza kuwasiliana nami.....ingawa alikataa kuwa hajamuambia dadake afanye hivyo ila ni mimi tu ndio ameniomba nisitishe mawasiliano ya mara kwa mara.

Kingine ni katika mazungumzo yake hasa ya message baina yetu. Anaweza kusema "mimi atakayeniowa asifanye hivi au vile" wakati anajua kabisa mi huwa sifanyi hivyo. Mfano leo kasema "mwanaume akija kunichumbia akifanya......aende tu akaowe pengine, sio lazima anioe". Hapendi kuzungumzia our future. Ni kama yuko nami ila bado room iko wazi kama akija mwingine anaweza kuconsider, kutokana na hayo maneno yake yanayonirudia rudia. Alishawahi kumuonesha mama yake picha zangu na kumpa habari zangu. To the top of her CRAZINESS alimuonesha na pic ya jamaa mmoja yuko nje ya nchi ila anataka kurudi bongo akaomba atafutiwe mchumba msomi. Anti yake (binti) ndio alimpa habari hizi na akamuonesha picture (ya jamaa) naye akamuonesha mama yake. Mama yake wanted to know more about me kuliko mchizi wa nje. Story hii kaniambia yeye mwenyewe. I didn't buy the story though. Akiwa kwao mkoani huwa nampigia simu natafuta sababu (mfano akiwa anaumwa) niongee na mama yake ila huwa anakwepesha jambo hili.

Niwape kidogo kuhusu yeye. Mwanzo nilipimtongoza alikataa.....akisema tuwe marafiki tu wa kawaida. Kama mwanaume atampata tu atakapomaliza masomo na hajajua wazazi wake watampangia nani wa kumuowa. Nikakomaa kiume kweli kweli ndio akanielewa. Akawa mtu wangu wa karibu sana akanipa VITU vingi sana mpaka siri za familia yao na kuniamini sana. Kati kati hapo akayumba.....mapenzi yaliyumba mno. Akisingizia ni ubusy na masomo. Niliona huyu binti ni pasua kichwa. Nikapanga kumwacha aendelee na maisha yake, nikaanza kumpotezea pole pole nami nikijifanya niko busy na kazi zangu.

Alipoona reaction yangu hiyo...akajirudi na kuomba tuwe kama zamani. Na hapa naomba niwe wazi, siku moja tulikuwa tunapata chakula mahali fulani akaona kuna simu imeingia ikampa mashaka na niliyekuwa naongea naye. Hakuniuliza pale pale. Tulipoagana ndio akafunguka kuwa anahisi nina mtu, na roho inamuuma. Sikumficha....nilimuambia yule dada huwa ananisumbua na ni mtu mwenye wadhifa tu. Akahoji kwanini ananisumbua....nikamwambia yeye hudai nimekuwa mtu wa mawazo sana...so anataka kunijulia hali na kunifariji. Baada ya kisanga hiki ndipo akaona threat na kujirudi kwa kuomba msamaha kuwa ni kweli amekuwa mbali nami kiasi napata stress.

Ni mtu anayependa sana dini na ana misimamo, hili nalipenda bila shaka. Anapenda sana privacy na hana marafiki wengi. Sio muasherati hili nina uhakika nalo. Niseme ukweli, NAMPENDA SANA huyu binti na anajua hilo. Nimekuwa nikimsaidia hili na lile na sometimes naogopa kutumia pesa yangu nyingi kwake sababu sijamuamini bado. Simsomeshi, bali namsaidia kiasi ambacho am willing to loose. Naogopa kuja kulia baadaye. Na najiona kama nabet kwake juu ya hatma yetu.

Binafsi namuona bado hajafanya maamuzi rasmi ya kujicommit kwangu au bado hajakuwa kiakili....japo mi siamini to the latter. Nimepanga kumuambia kuwa nimefikiria tuachane nione reaction yake. Akinipa go ahead....I'll leave her for good. Niko tayari kwa lolote. I don't need to beg to be loved.

Unanishauri nini? Samahani kwa uzi mrefu.
Upo katka wakati mgumu ila ndio muda sahihi wa kujua kua unapopanda kuna rutuba! Ya kuufanya mmea kukua vizuri. Jaribu kumwambia kua unahisi kwa sasa ni muda sahihi wa wewe kupeleka posa kwao ili akimaliza shule akute baadhi ya taratibu umeshazimaliza za kuwawezesha kuishi pamoja kama wanandoa rasmi na Umsikilize atasemaje hii itakusaidia kutoa uamuzi sahihi. ila kumbuka usimpe nafasi ya kua yeye kua ndio sababu ya kuachana
 
Mwanamke akiwa na nia ya kuolewa cha kwanza atahitaji akutambulishe kwao,mjuane na ndugu,rafiki zake n.k.ukiona hataki izo apo mguu pande mguu sawa.kingine angalia course anayosoma na sijui uko wapi.atakuja kupata kazi mikoa kama 10 kutoka ulipo na ujulikani kwao akiondoka tu siku anarudi maajabu yako yote ni tumbo kuongezeka,so nakushauri Fanya uamzi mapema wa kumwambia ukajitambulishe kwao na ata akikubali ila akavunja ahadi basi hilo huwa ni mkosi na laana kumkimbia mtu ambae ushamwaidi kuona,then utapata jibu kamili.alafu uje utujuze kasemaje after that
Nitaleta feedback mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom