Huyu mwanamke sijui anafikiria nini!

Huyu mwanamke sijui anafikiria nini!

Ahahahaha mkuu kama mimi tu manzi kama anapepo anabadilika hadi jana namtext ananiuliza we nani ikabidi niwe mpole tu nikadelete na namba mademu ni wengi saana.
 
Uyo ana mwanaume wake anaemkeep busy
Habar wa jf bla kupoteza mda ngoja niende moja kwa1 kwenye maada

Kuna mwanamke nlmpenda sana in short wote 2lipendana sana lakn 2lkuwa mbal mbal miez mitatu(2likuwa kwenye mapenz ya mbal kwa miez3) tangia niwe nae na kuja kukutana naye...

Lakini mambo yakaanza kubadilika tu pindi tulipo kuwa karibu akawa hapendi kuongea sana na mm mambo yalizidi kuwa mabaya had I ikafka hatua anankaushia tu nkimuulza sababu anajitetea ana kaz nyng

Sasa imefka hatua hanitafut hadi nmtafute mimi na mda mwingine nkimtafuta hanijibu hata siku 4 hadi nafkria sijui nimuache au vp

Sema sitaki kumuacha mapema hii wakati bado cjapata papuch......ushaur wenu wadau
 
Hahahaha pole zako kama hujui kusoma hata picha huoni? tayari alishakuacha huyo endelea na maisha yako.
 
Habar wa jf bla kupoteza mda ngoja niende moja kwa1 kwenye maada

Kuna mwanamke nlmpenda sana in short wote 2lipendana sana lakn 2lkuwa mbal mbal miez mitatu(2likuwa kwenye mapenz ya mbal kwa miez3) tangia niwe nae na kuja kukutana naye...

Lakini mambo yakaanza kubadilika tu pindi tulipo kuwa karibu akawa hapendi kuongea sana na mm mambo yalizidi kuwa mabaya had I ikafka hatua anankaushia tu nkimuulza sababu anajitetea ana kaz nyng

Sasa imefka hatua hanitafut hadi nmtafute mimi na mda mwingine nkimtafuta hanijibu hata siku 4 hadi nafkria sijui nimuache au vp

Sema sitaki kumuacha mapema hii wakati bado cjapata papuch......ushaur wenu wadau
Tangia Lini fimbo ya mbali ikaua Nyoka
 
Kwa ushauri wa haraka kwanza katika maelezo yako kama vile hamjapata Hata mtoto . Fanya maamuzi temana nae bado mapema usije kujinyonga bure siku za usoni
 
Back
Top Bottom