Huyu mwanamke sijui anafikiria nini!

Huyu mwanamke sijui anafikiria nini!

Achana nae huyoo... Nenda mlima wa moto upate ujipatie kifaa bila dalilii
Habar wa jf bla kupoteza mda ngoja niende moja kwa1 kwenye maada

Kuna mwanamke nlmpenda sana in short wote 2lipendana sana lakn 2lkuwa mbal mbal miez mitatu(2likuwa kwenye mapenz ya mbal kwa miez3) tangia niwe nae na kuja kukutana naye...

Lakini mambo yakaanza kubadilika tu pindi tulipo kuwa karibu akawa hapendi kuongea sana na mm mambo yalizidi kuwa mabaya had I ikafka hatua anankaushia tu nkimuulza sababu anajitetea ana kaz nyng

Sasa imefka hatua hanitafut hadi nmtafute mimi na mda mwingine nkimtafuta hanijibu hata siku 4 hadi nafkria sijui nimuache au vp

Sema sitaki kumuacha mapema hii wakati bado cjapata papuch......ushaur wenu wadau
 
Kwa uandishi wako huu, ana haki ya kukukalia kimya ikiwezekana kukuacha kabisa.

Hakuna mwanaume hapa, hata ingekuwa mimi ningepiga kimya
 
Habar wa jf bla kupoteza mda ngoja niende moja kwa1 kwenye maada

Kuna mwanamke nlmpenda sana in short wote 2lipendana sana lakn 2lkuwa mbal mbal miez mitatu(2likuwa kwenye mapenz ya mbal kwa miez3) tangia niwe nae na kuja kukutana naye...

Lakini mambo yakaanza kubadilika tu pindi tulipo kuwa karibu akawa hapendi kuongea sana na mm mambo yalizidi kuwa mabaya had I ikafka hatua anankaushia tu nkimuulza sababu anajitetea ana kaz nyng

Sasa imefka hatua hanitafut hadi nmtafute mimi na mda mwingine nkimtafuta hanijibu hata siku 4 hadi nafkria sijui nimuache au vp

Sema sitaki kumuacha mapema hii wakati bado cjapata papuch......ushaur wenu wadau
Ushaachwa au unasubiri uambiwe[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wee ndo unamakosa. Kwanini hukumtimizia ahadi uliyomuahidi?.
Nakushauri mnunulie hata tekno atatulia tu, baadae utaanze kujilia mafao kiulaiiiini. [emoji125][emoji125][emoji125]
 
Katika kanuni za kibaharia Ibara ya 7 kifungu b. kinasema....

"baharia hatajipendekeza kwa malaya hata kama anamhusudu, iwe kwa hali au mali. Malaya ndio anatakiwa kujikomba kwa baharia tu ili kuimarisha mahusiano"

Sasa we umeshavunja hii ibara mzee meko. Hapo tafta malaya mwengine tu.
 
Dah hivi ukiwa unaongea wa wenzio unaniita malaya?
 
Back
Top Bottom