marandu2010
JF-Expert Member
- Aug 7, 2010
- 1,199
- 435
hebu angalia,polisi wote hao,wanalipwa pesa za walipakodi halafu cheki kazi wanayofanya,hivi sisi waafrika tumelaaniwa ama?
cheki video hii polisi wanachofanya nje ya nyumba ya besigye,ila nimefurahishwa na reaction ya mwanamke huyo..
africa tubadirike.
Sent using Jamii Forums mobile app
cheki video hii polisi wanachofanya nje ya nyumba ya besigye,ila nimefurahishwa na reaction ya mwanamke huyo..
africa tubadirike.
Sent using Jamii Forums mobile app