Hilo linawakuta wengi katika vidada vya siku hizi...tubu tu kwa Mola wako...alafu maisha yabadilike yatakuwa mazuri tu upande wako...Vingine nimetoka salaama, Ila No. 5 imeniumaa!! Sijui nilie!!😥
Pole sanaKwani mkuu huo upumbavu wao unakulipia bills au unakupunguzia kiasi kwenye account yako?
Shukraani Mkuu..!! A big Amen to thach..!!Hilo linawakuta wengi katika vidada vya siku hizi...tubu tu kwa Mola wako...alafu maisha yabadilike yatakuwa mazuri tu upande wako...
Wapumbavu sanaaanamba 2 huwa wanadhani wamemwezea mwanaume kwa kuwa mkewe hamkidhi haja tena hà hà hà haaa wakija kushtuka bado wanafichwafichwa km digidigi wenyewe wanabwaga manyanga mbaya zaidi muda hauwasubiri...
Umeongeza ya moto sanaaa...Mengine ni:
Kukubali kubeba mimba kisa umehaidiwa kuolewa.....alafu mwisho unapigwa chini.
Kutongozwa tu day 1 na day 2 unatangaza shida hata zile za kuokoteza ili upewe hela
Kukubali kutoa tigo ukidhani ndo inamridhisha mpenzi wako.......huo ni Upumbafu+++
Nk. Etc. Nakadhalika, .....
Ndo hivyo mkuu,jitahidi tu kwasasa ujitunzeShukraani Mkuu.. We do praying for the best.!
Kupoteza muda wako na kuandika upumbavu nawe pia ni mpumbavu.MWANAMKE UKIWA UNAFANYA MOJA KATI YA YAFUATAYO:- *CHUKUA MKONO WAKO WA KULIA JIPIGE PIGE KIFUANI, SEMA "MIMI NI MPUMBAVU!".*
_1. Kuishi na mwanaume ambaye ajakutolea mahari au kukuoa. Hii inachoma lakini ndio ukweli wenyewe. *Wewe ni MPUMBAVU*._
_2. Kukubali kuwa MCHEPUKO. *WEWE NI MPUMBAVU*_
_3. Kuvaa pete ya uchumba ya mwanaume ambaye even hata kwenu apajui. Na pengine hata wazazi wako hawajui. *WEWE NI MPUMBAVU!*_
_4. Kutumia picha ya boyfriend wako kama profile picture wakati yeye hana hata wazo la kufanya hivyo. Hata mpango wa maisha ya baadae na wewe hana. *WEWE NI MPUMBAVU.*_
_5. Kumpa thamani yako PRIDE (Bikra), mwanaume ambaye HATA ajatoa pesa ya mahari ili kidogo kujihakikishia ndoa. *USHAKUWA MALAYA TAYARI.*_
6. Kupika chakula mara kwa mara na kufua nguo, baadae waenda kujituma kitandani kabisa kuonyesha upendo kwa boyfriend wako ambaye si mume wako. Na wakati huo yeye anakwambia " ATAKAYEKUOA ATAPATA RAHA SANA.". *HILO ULILOBEBA JUU YA SHINGO YAKO SIO KICHWA NI BOX TUPU, LIMEOTA UKUNGU TU WA FUNGI UKADHANI NI NYWELE.*
7. Kutokumuheshimu mzazi wako kwa sababu tu ya mwanaume ambaye hata wazazi wako hawamjui.
8. Kumpa mwanaume sex kirahisi tu kwa sababu wakati anakutongoza amekuambia atakuoa.
_9. Unavaa mavazi ya ajabu ajabu yasiyokusitiri na kukupa heshima ukadhani Unawavutia wanaume wenye heshima zao wanaweza kukutangazia ndoa...my friend unajidanganya...! *WEWE NI MPUMBAVU*, utawapata hao hao akina CALISA na DIAMOND._
*NARUDIA SEMA HIVI..."MIMI NI MPUMBAVU TENA NI BOMU KABISA...!"*
POVU...Kwa namna fulani tunapoteza muda wa kujadili maisha ya mtu/watu ambao hawakupunguzii au kuongeza chochote kwako.....
Kwa namna yoyote ile mtu aamuavyo kuishi bila kuingilia uhuru au faragha zako achana nae na ufanye yako....
Vinginevyo huu ni mwanzo wa kuweka sumu kwenye ubongo na kuteseka na ya watu huku yako yakikushindaa.....
Mind your own issues.!!!
Dah'..!! Imepenya mpk moyo umetetema!!Ndo hivyo mkuu,jitahidi tu kwasasa ujitunze
UNATAKA MADA ZA MALAIKA...NENDA KWENYE JUKWAA LA DINI...UKITAKA SIASA NENDA KWENYE JUKWAA LA SIASAHivi jf watu bila mada za wanawake na wanaume hamuwezi kupost....?
Fikirieni vingine vya kupost... Upuuzi mtupu!
Bila shaka katika vyote hivyo...basi vyote vinakuhusu...POVU...
[emoji121]Kwani mkuu huo upumbavu wao unakulipia bills au unakupunguzia kiasi kwenye account yako?
Ukitaka wanawake?UNATAKA MADA ZA MALAIKA...NENDA KWENYE JUKWAA LA DINI...UKITAKA SIASA NENDA KWENYE JUKWAA LA SIASA
KUJUTA KWAKO BASI ALLAH ATAKUSAMEHE...JITUNZE TU KWA MTU MAALUM...USIMPE NAFASI YA KUKUCHEZEA TENA YULE MTU...OTHER WISE AKUOE KABISA...Dah'..!! Imepenya mpk moyo umetetema!!
mimi nimpumbavu sana kwa kufanya mambo kadhaa hapo dah kweli mimi ni mpumbavu.MWANAMKE UKIWA UNAFANYA MOJA KATI YA YAFUATAYO:- *CHUKUA MKONO WAKO WA KULIA JIPIGE PIGE KIFUANI, SEMA "MIMI NI MPUMBAVU!".*