Huyu mwanamke ni mpumbavu

Huyu mwanamke ni mpumbavu

Kuweni na shukran mwanamke asipo fanya hvyo mnasema si wife material
WIFE MATERIAL HAACHII UCHI WAKE UDHALILISHWE KWA MATUMIZI YASIYO RASMI...NANI KAKUDANGANYA HIVYO...? POLE AISEE
 
kabisa mkuu, hawa binti zetu wamekuwa tu kaa dala dala yoyote anaingia katikati ya miguu yake mradi ako na hela, ni vingumu kabisa siku hizi kupata bikira hata wa miaka 15,by 14 karibu wote bikira imeondolewa
Hii ndio inayoumaga...
 
Mengine ni:

Kukubali kubeba mimba kisa umehaidiwa kuolewa.....alafu mwisho unapigwa chini.

Kutongozwa tu day 1 na day 2 unatangaza shida hata zile za kuokoteza ili upewe hela

Kukubali kutoa tigo ukidhani ndo inamridhisha mpenzi wako.......huo ni Upumbafu+++

Nk. Etc. Nakadhalika, .....
Hili dongo la kwetu single mother, ila nikwambie kitu kama lipo kusudi LA MUNGU mimi niolewe ni lzma tu, Hayo uliyoyaandika hayatakuwa na maana
 
umesikia ya Tunisia lakini, usipoa mke wa pili uwezekano wa kupata kazi serikalini haupo!
 
Kwa namna fulani tunapoteza muda wa kujadili maisha ya mtu/watu ambao hawakupunguzii au kuongeza chochote kwako.....

Kwa namna yoyote ile mtu aamuavyo kuishi bila kuingilia uhuru au faragha zako achana nae na ufanye yako....

Vinginevyo huu ni mwanzo wa kuweka sumu kwenye ubongo na kuteseka na ya watu huku yako yakikushindaa.....

Mind your own issues.!!!
Ni kweli kabisa anajifanya mjuaji kumbe hana kitu kabisa, kama ameona upumbavu wetu tusaidie sasa ili tusiwe wapumbavu. Toa boriti lako kwanza ndio uje uangaike na maboriti yaliyopo kwetu.M.Y.O.B (Mind your own business, Yetu yaache yatakuchosha
 
So funny, una comment kua watu waache kuingilia maisha ya watu, sasa umefata nini kusoma hizo comment za watu humu, post hii ina mambo ambayo kwa tamaduni "zile" za kitanzania yasingekubalika ila kwa sasa kutokana na utawandawazi ni mambo ya kawaida ndio maana wachangiaji wengi mnaumia ila ingekua kwa context ya enzi za mwalimu yote aliyosema mtoa hoja ni VALID... hata kama hupendi!
 
Don’t underestimate a woman who is deeply in love...

Ni hilo tu..
 
Back
Top Bottom