Huyu mwanamke ni mpumbavu

Huyu mwanamke ni mpumbavu

Kwa namna fulani tunapoteza muda wa kujadili maisha ya mtu/watu ambao hawakupunguzii au kuongeza chochote kwako.....

Kwa namna yoyote ile mtu aamuavyo kuishi bila kuingilia uhuru au faragha zako achana nae na ufanye yako....

Vinginevyo huu ni mwanzo wa kuweka sumu kwenye ubongo na kuteseka na ya watu huku yako yakikushindaa.....

Mind your own issues.!!!
Safi kabisaaaa
 
Kupiga punyeto wakati unajua NYAPU ni 5000 tu ni "UPUMBAVU".
Kuziacha "NYAPU"zilale huku zimenuna et kwa sababu ya mahari ni "UPUMBAVU"
Mwanamke kulala peke yake huku Kavaa Hijabu ni "UPUMBAVU"
 
MWANAMKE UKIWA UNAFANYA MOJA KATI YA YAFUATAYO:- *CHUKUA MKONO WAKO WA KULIA JIPIGE PIGE KIFUANI, SEMA "MIMI NI MPUMBAVU!".*

_1. Kuishi na mwanaume ambaye ajakutolea mahari au kukuoa. Hii inachoma lakini ndio ukweli wenyewe. *Wewe ni MPUMBAVU*._


_2. Kukubali kuwa MCHEPUKO. *WEWE NI MPUMBAVU*_


_3. Kuvaa pete ya uchumba ya mwanaume ambaye even hata kwenu apajui. Na pengine hata wazazi wako hawajui. *WEWE NI MPUMBAVU!*_


_4. Kutumia picha ya boyfriend wako kama profile picture wakati yeye hana hata wazo la kufanya hivyo. Hata mpango wa maisha ya baadae na wewe hana. *WEWE NI MPUMBAVU.*_


_5. Kumpa thamani yako PRIDE (Bikra), mwanaume ambaye HATA ajatoa pesa ya mahari ili kidogo kujihakikishia ndoa. *USHAKUWA MALAYA TAYARI.*_


6. Kupika chakula mara kwa mara na kufua nguo, baadae waenda kujituma kitandani kabisa kuonyesha upendo kwa boyfriend wako ambaye si mume wako. Na wakati huo yeye anakwambia " ATAKAYEKUOA ATAPATA RAHA SANA.". *HILO ULILOBEBA JUU YA SHINGO YAKO SIO KICHWA NI BOX TUPU, LIMEOTA UKUNGU TU WA FUNGI UKADHANI NI NYWELE.*

7. Kutokumuheshimu mzazi wako kwa sababu tu ya mwanaume ambaye hata wazazi wako hawamjui.


8. Kumpa mwanaume sex kirahisi tu kwa sababu wakati anakutongoza amekuambia atakuoa.

_9. Unavaa mavazi ya ajabu ajabu yasiyokusitiri na kukupa heshima ukadhani Unawavutia wanaume wenye heshima zao wanaweza kukutangazia ndoa...my friend unajidanganya...! *WEWE NI MPUMBAVU*, utawapata hao hao akina CALISA na DIAMOND._

*NARUDIA SEMA HIVI..."MIMI NI MPUMBAVU TENA NI BOMU KABISA...!"*
alafu hizi smg ndio za kukata umeme kwa vidame vyetu
 
Kwa namna fulani tunapoteza muda wa kujadili maisha ya mtu/watu ambao hawakupunguzii au kuongeza chochote kwako.....

Kwa namna yoyote ile mtu aamuavyo kuishi bila kuingilia uhuru au faragha zako achana nae na ufanye yako....

Vinginevyo huu ni mwanzo wa kuweka sumu kwenye ubongo na kuteseka na ya watu huku yako yakikushindaa.....

Mind your own issues.!!!
[emoji121]
HII HOJA YAKO IPUUZWE KABISA HII,
HAINA TIJA KWA JAMII.

NI LAZIMA WATU WAKUMBUSHANE NA KUREKEBISHANA ILI JAMII IJENGEKE KIMAADILI!!!
 
Back
Top Bottom