Huyu mwanamke kanitapeli

Tafadhali naomba namba yake nami nataka kuchunwa
 
Tafta mwingine mtoe mapesa hivyo hivyo kati ya kumi utabahatisha walau mmoja
 
Sasa hao mpaka utume nauli ni Wa wapi? Ila kagundua weye ni boya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…