Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,631
- 4,225
Wakuu wa maswala,
kuna mwanamama nimeanza ufrendi naye lakini anakatabia ka kuingia
kwenye simu yangu na kucheki nani kanipigia simu au nani kanitumia
msg.
nammaindi kinoma lakini hii tabia mimi sasa naona too much maana
nimemkataza lakini bado hasikii. Leo asubuhi kaja na maswali ya
kipuzi hata simuelewi.
hebu nipeni wasia maana mwenzenu naona niachie ngazi mbele kwa
mbele.
P.S. Ni mmarekani
Mwenzenu.
simu zote kunakuwa na code ukiweka hiyo mtu hana uwezo wa kuifunguwa simu yako na kuona vilivyomo ndani sasa nashangaa kwa nini usichukuwe hatuwa kama hiyo ,hapo ndio atajuwa (ataelewa) kuwa hutaki achokonowe simu yako, kwani kugombana na mtu ni kutaka ukifanya hivyo itakuwa unamwambia (mueleza)indirect mtu kama huyo mara nyingi anakuwa na makubwa zaidi moyoni mwake yanayomsumbuwa zidi yako zaidi ya hilo la kuchokonowa simu .
mkuu una familia...tunza ur family achana na kicheche hicho hata kama unalisaka karatasi.....hebu nipeni wasia maana mwenzenu naona niachie ngazi mbele kwa
mbele
Wakuu wa maswala,
kuna mwanamama nimeanza ufrendi naye lakini anakatabia ka kuingia
kwenye simu yangu na kucheki nani kanipigia simu au nani kanitumia
msg.
nammaindi kinoma lakini hii tabia mimi sasa naona too much maana
nimemkataza lakini bado hasikii. Leo asubuhi kaja na maswali ya
kipuzi hata simuelewi.
hebu nipeni wasia maana mwenzenu naona niachie ngazi mbele kwa
mbele.
P.S. Ni mmarekani
Mwenzenu.
Wakuu wa maswala,
kuna mwanamama nimeanza ufrendi naye lakini anakatabia ka kuingia
kwenye simu yangu na kucheki nani kanipigia simu au nani kanitumia
msg.
nammaindi kinoma lakini hii tabia mimi sasa naona too much maana
nimemkataza lakini bado hasikii. Leo asubuhi kaja na maswali ya
kipuzi hata simuelewi.
hebu nipeni wasia maana mwenzenu naona niachie ngazi mbele kwa
mbele.
P.S. Ni mmarekani
Mwenzenu.
Wakuu wa maswala,
kuna mwanamama nimeanza ufrendi naye lakini anakatabia ka kuingia
kwenye simu yangu na kucheki nani kanipigia simu au nani kanitumia
msg.
nammaindi kinoma lakini hii tabia mimi sasa naona too much maana
nimemkataza lakini bado hasikii. Leo asubuhi kaja na maswali ya
kipuzi hata simuelewi.
hebu nipeni wasia maana mwenzenu naona niachie ngazi mbele kwa
mbele.
P.S. Ni mmarekani
Mwenzenu.
Hata mie siku zote huwa najua ni mwanamke huyu.Samahani sana, hivi wewe ni Mwanamme? maana mimi siku zote nikiiona hiyo avatar yako najuwa u-mwanamke, samahani kama nimekosea. Au wewe ni mwanamke na huyo mwanamke wa ki merekani mna mahusiano ya jinsia moja? lesbians?
Hata mie siku zote huwa najua ni mwanamke huyu.
simu zote kunakuwa na code ukiweka hiyo mtu hana uwezo wa kuifunguwa simu yako na kuona vilivyomo ndani sasa nashangaa kwa nini usichukuwe hatuwa kama hiyo ,hapo ndio atajuwa (ataelewa) kuwa hutaki achokonowe simu yako, kwani kugombana na mtu ni kutaka ukifanya hivyo itakuwa unamwambia (mueleza)indirect mtu kama huyo mara nyingi anakuwa na makubwa zaidi moyoni mwake yanayomsumbuwa zidi yako zaidi ya hilo la kuchokonowa simu .
Kwani unampango naye wowote? If yes, unaficha nini? Au kicheche?
Ufrendi wa aina gani?
Kama safari jiandae vizuri maana "Dalili za mvua mawingu", na kama mahusiano usambe hukuaswa "heri ya nusu shari kuliko shari kamili", kama ujenzi basi jua "usipoziba ufa utajenga ukuta" Fanya uamuzi wa maana mapema isije kuwa mambo ya "majuto mjukuu" . Pia yakhe kumbuka "ukicheza na mbwa atakufuata mpaka msikitini" na pia "mcheza na tope humrukia" kama kidume inabidi ujue "mchelea mwana kulia hulia yeye".
Mimi nakwambia hivi kwa maana "adhabu ya kaburi aijuaye maiti" na "aisifiaye mvua imemnyea" ukiwa "bendera kufuata upepo" na kusema "chanda chema huvikwa pete" kwa kutaka ku "fuata nyuki ule asali" utajikuta butwaa kwa kujua "konzo ya maji haifumbatiki" baada ya kung'amua kwamba "lila na fila hazitangamani" na "mafahali wawili hawakai zizi moja"
Lakini baada ya yote hayo, najua kuwa "kitanda nisokilala sikijui kunguniwe" na ujuwe kwamba"kila chombo na wimbile" na "kila ndege huruka na mbawa zake"
mkuu una familia...tunza ur family achana na kicheche hicho hata kama unalisaka karatasi.....