Huyu mwanamke atanitoa roho

Kama alikuona wanini, basi mwambie ntakupata lini ndio nakumiliki....😘
 
Ukiachana na mwanamke bila kupoteza muda tafuta mwanamke (rebound girlfriend)mwingine haraka sana kadri uwezavyo. Vinginevyo upweke utakufanya umkumbuke ex wako sana.

Yaani na bado utamlilia sana uyo mwanamke na hatorudi kwako kamwe.
 
Kama amekuacha mwache aende ukimbembeleza akirudi ndio atakupiga pigo takatifu hautoamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…