Huyu mwanamke atanitoa roho

Mapenzi ni siraha ya kunibadirishia mtu mbaya kua mzuri. Naona yananipeleka kua mtu mwingine kabisa ambae sijafikiria kua
 
I'm coming My Babe 🥰😘🥰
 
Angalau wewe ni mwema sana.

Watu wanamkashifu tu kuwa asepe.

Wanafikiri kupenda ni kazi rahisi tu.
Pole sana Mkuu pambana ili kumrudisha mpenzi wako usiishie kuandika mtandaoni tu. Haya mambo yanahitaji kukaa chini uso kwa uso kujua tatizo ni lipi na kama linaweza kutatulika ili kurudisha penzi lenu hewani.
 
Ushakuwa teja pole sana .......kaka
 
Loyalty is killing me. Napenda nipende mtu mmoja tu nimpende sanaaaa ndio nilimpata huyu sasa siwezi kujifanyisha kua simpendi
Acha uzembe mAster find cute zaidi yake na ambae katika vigezo vyako 10 ame hits 8 hivi 2 utamshape mwenyewe kukamilisha.

Kama uliweza kumshape huyo ukampa na moyo wako sa why not ? Kushape mwingine

Nb: kidume nikiwanda bhana shekheee tengeneza products nyingine usuwe zoba mazee ku loose time
 
Kama haya ndo mapenzi Basi nimeshafeli siku nyingi Sana.

Kuchoshana tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…