Huyu mwanamke atanitoa roho

Long distance relationship tuwaachie wakorea na wafilipino tu .. sisi wabongo asiye kuwepo na lake halipo [emoji28]
Mbona Espy yupo huko ila mambo yetu yako poa kabisa mkuu? Inawezekana, japo mnatakiwa kujitoa kweli kweli mkuu.
 
Mbona Espy yupo huko ila mambo yetu yako poa kabisa mkuu? Inawezekana, japo mnatakiwa kujitoa kweli kweli mkuu.
Unapaswa kuwa na uvumilivu wa chuma kwa sisi wenye mioyo midogo na ndio ambao tupo wengi hatuwezi

Trust me
 
Wimbo mzuri sana huu, tafuta wezi wa muziki (producers) wakuibie beats uimbe....I promise huu wimbo utakuwa a hit.
 
Ndio Umri wa kufanya hayo mambo ,ukishafika 30+ hautakuwa na muda wa kuwaza mademu maana utakuwa na mambo mengi sana ya kufanya!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…