Huyu mwanajeshi ananichanganya

Huyu mwanajeshi ananichanganya

fuata moyo wako...

kama hujui mbinu za wanaume utakuja shuhudia mwenyewe tena kama ulimwambia unaye atafanya kila awezalo mpaka akupate...shaurilo
 
Mchumba wako alie kupa zawadi ya Ipad yene thamani ya 900 dollar,leo hakujali !?
 
atakubali kuwa mtanganyika? au anataka tu ardhi ya bara? na je, ukienda kule zenji utakubaliwa kama mzenji?
 
... loyda..ni shida...
ana visa. lukuki..
[h=3]Nimeshuhudia shem akisaliti[/h] Started by loyda, 6th July 2014 15:45
[h=3]Nifanyeje kuhusu ili?[/h] Started by loyda, 8th July 2014 18:37

[h=3]Hii ipoje wapendwa[/h] Started by loyda, 23rd July 2014 09:01

[h=3]Nisaidieni wakuu hapa nimevurugika[/h] Started by loyda, 23rd August 2014 14:35
[h=3]Wadada wenzangu kama ni wewe unakutana na hali hii unaimalizaje?[/h] Started by loyda, 15th October 2014 16:54
[h=3]Sina raha baada ya ku-misplace Ipad niliyopewa zawadi na mpenzi wangu[/h] Started by loyda, 28th October 2014 13:06

Alaaa kuuumbeee
 
Habari wana MMU

Msishangae naandika nini hapa bado nipo kitandani najivuta kuamka nikatafute ulaji Lakini usiku wangu haukuwa mzuri kifupi kuna kijana mmoja ni mwanajeshi mzanzibar,nmefahamiana nae ni kama mwezi kiukweli nikwamba anadai ananipenda sana lakini nilimwambia nina mchumba anadai yupo tayari kwa lolote ili mradi nije kuwa mkewe.

Mwanzo sikuwa hata na mawazo naye ila siku mbili hizi nmejikuta nampenda sana hata usiku silali namuwaza hadi basi.

Anaonesha anajali kuliko mchumba Wangu

Hapa nipo njia panda
Nipeni mawazo yenu wakuu
 
Last edited by a moderator:
Wilikuwepo kina Jane_ooo,DaJane,Grace wa Tegeta et al wamepotea na wewe utapotea tu na hekaya zako za abunuasi.
 
Habari wana MMU

Msishangae naandika nini hapa bado nipo kitandani najivuta kuamka nikatafute ulaji Lakini usiku wangu haukuwa mzuri kifupi kuna kijana mmoja ni mwanajeshi mzanzibar,nmefahamiana nae ni kama mwezi kiukweli nikwamba anadai ananipenda sana lakini nilimwambia nina mchumba anadai yupo tayari kwa lolote ili mradi nije kuwa mkewe.

Mwanzo sikuwa hata na mawazo naye ila siku mbili hizi nmejikuta nampenda sana hata usiku silali namuwaza hadi basi.

Anaonesha anajali kuliko mchumba Wangu

Hapa nipo njia panda
Nipeni mawazo yenu wakuu

Anakujali sababu hajaonja mbunye.
Ngoja akute panya afu utakuja kutuambia.
 
Anaonesha anajali kwa kufa hajafunua sketi hiyo. Ngoja akupitie uone kama ataendelea na huko unakoita kujali. Ng'ang'ana n mpenzi wako dada.
 
Wazenji wengi wao wabaguzi sasa mkubalie akupeleke kwao ndo utakapomkumbuka wazamani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom