Huyu mwanajeshi ananichanganya

Huyu mwanajeshi ananichanganya

Ujue ndio maana mkiambiwa wanawake hamna msimamo msilalamike. Its just that there is no certainty when dealing with you guys.
Anajali kuliko mchumba kwani unawashindanisha? (Maslahi na ndoa ni vitu tofauti dada)
Kwa hiyo unahangaika hadi upate anayekujali kuliko wote duniani ndo akuoe?
Kujali unakutafsirije wewe? Kwa sababu mimi nikiwa nakupa 10,000/= akaja anayekupa 100,000/= si kwamba anajali kuliko mimi, labda ndo uwezo wake? na ukiniacha kwa ajili yake akaja wa kutoa 1M?
Hebu malizia kulala halafu uje uandike tena kwa kweli...Manake hizi stress za kwenda kugombea daladala inawezekana zishakuvuruga asubuhi asubuhi

well said, most of women are oppotunist!
 
They are bad news my dia, dont try it, utaaanguka vibaya.
 
Ujue ndio maana mkiambiwa wanawake hamna msimamo msilalamike. Its just that there is no certainty when dealing with you guys.
Anajali kuliko mchumba kwani unawashindanisha? (Maslahi na ndoa ni vitu tofauti dada)
Kwa hiyo unahangaika hadi upate anayekujali kuliko wote duniani ndo akuoe?
Kujali unakutafsirije wewe? Kwa sababu mimi nikiwa nakupa 10,000/= akaja anayekupa 100,000/= si kwamba anajali kuliko mimi, labda ndo uwezo wake? na ukiniacha kwa ajili yake akaja wa kutoa 1M?
Hebu malizia kulala halafu uje uandike tena kwa kweli...Manake hizi stress za kwenda kugombea daladala inawezekana zishakuvuruga asubuhi asubuhi

Mwambie anitafute mi ntampa 10M, lifti ya kwenda kazini mwezi mzima...,yaan nitamjali kwa kipindi chote atachonipa mchezo
 
Loyda tulia dawa ikuingie ili ukidanganyika usije kusema jf haijakushauri, ukitaka kujuta mpe huyo mjeda nafasi unayedhani anajali ndo utajua rangi yake halisi, kua na msimamo usidanganyike na trick za wanaume sisi ni noma sana don't try this at home.

ha ha ha haaaa nimecheka mpaka basiiii......
 
Nenda kampe papuchii thn ujue kama anajua mambo il umpe moyo kabisa kuliko kumuota uck
 
Habari wana MMU

Msishangae naandika nini hapa bado nipo kitandani najivuta kuamka nikatafute ulaji Lakini usiku wangu haukuwa mzuri kifupi kuna kijana mmoja ni mwanajeshi mzanzibar,nmefahamiana nae ni kama mwezi kiukweli nikwamba anadai ananipenda sana lakini nilimwambia nina mchumba anadai yupo tayari kwa lolote ili mradi nije kuwa mkewe.

Mwanzo sikuwa hata na mawazo naye ila siku mbili hizi nmejikuta nampenda sana hata usiku silali namuwaza hadi basi.

Anaonesha anajali kuliko mchumba Wangu

Hapa nipo njia panda
Nipeni mawazo yenu wakuu

nahisi namjua huyo kijana ni mchaga
 
mtaka cha uvunguni sharti ainame.kwa vile wanaume tunajua weakness zenu wadada basi tunawafunua tu bila shida.Naona mjeshi ameshachukua point tatu.
 
Tamaa ni mbaya usioneshe uzaifu kama jamaa yako anakupenda komaa nae
 
Habari wana MMU

Msishangae naandika nini hapa bado nipo kitandani najivuta kuamka nikatafute ulaji Lakini usiku wangu haukuwa mzuri kifupi kuna kijana mmoja ni mwanajeshi mzanzibar,nmefahamiana nae ni kama mwezi kiukweli nikwamba anadai ananipenda sana lakini nilimwambia nina mchumba anadai yupo tayari kwa lolote ili mradi nije kuwa mkewe.

Mwanzo sikuwa hata na mawazo naye ila siku mbili hizi nmejikuta nampenda sana hata usiku silali namuwaza hadi basi.

Anaonesha anajali kuliko mchumba Wangu

Hapa nipo njia panda
Nipeni mawazo yenu wakuu

Hilo co la kutueleza cc hapa ni maamuzi yako mwenye pumbafuuuu zako
 
Habari wana MMU

Msishangae naandika nini hapa bado nipo kitandani najivuta kuamka nikatafute ulaji Lakini usiku wangu haukuwa mzuri kifupi kuna kijana mmoja ni mwanajeshi mzanzibar,nmefahamiana nae ni kama mwezi kiukweli nikwamba anadai ananipenda sana lakini nilimwambia nina mchumba anadai yupo tayari kwa lolote ili mradi nije kuwa mkewe.

Mwanzo sikuwa hata na mawazo naye ila siku mbili hizi nmejikuta nampenda sana hata usiku silali namuwaza hadi basi.

Anaonesha anajali kuliko mchumba Wangu

Hapa nipo njia panda
Nipeni mawazo yenu wakuu

Kakuendea kwa bibi huyo..... Teh teh... Fahamu zitakurudia ukiwa na watoto tisa..... teh
 
Katika watu nawa admire na kuwapenda (si kimapenzi maana siko available) ni wanajeshi...
Yani mwanajeshi yeyote nikimuona ananivutia sana...kuna siku nilikuwa nchi ya watu nikawaona vijana wadogo wamevaa combat na mabefi yao mgongoni...nikawa najiuliza hawa sijui wametoka Afghanistan au wapi?...Nilitamani kuwapigia salute...hawa ndio raia namba moja wa nchi yeyote...
 
Ndo naamini ili umpate mwanamke inabidi umdanganye akija kushtuka tayari umeshapita
 
dare for ur own risk, maisha ni uamuzi,ila tutakushanga ukija na lawama kutoka kwa mjeda...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom