Huyu mtu ni nani?

Huyu mtu ni nani?

Mkuu sijui ni macho yangu lakini utanisamehe mi naona unafanana nae sura kwenye avatar yako hapo
Wasichana wanaotafuta wachumba humu JF, siku mkikutana na Mshana jr. mtawaacha wachumba wenu wote. Mdogo wangu ni Handsome boy tena mpole sana kuliko anayoandika ya ulozi. Ila huyo mi nadhani ni aina ya kina Lizabon na Motochin vile.
 
asante dada loh asavali umemaliza utata wote
 
Wasichana wanaotafuta wachumba humu JF, siku mkikutana na Mshana jr. mtawaacha wachumba wenu wote. Mdogo wangu ni Handsome boy tena mpole sana kuliko anayoandika ya ulozi. Ila huyo mi nadhani ni aina ya kina Lizabon na Motochin vile.
kumfananisha mtu hakuna uhusiano wowote na suala la wachumba, kabla ya kuandika maneno yako ungetumia muda kidogo kuangalia My Profile Page badala ya kukimbilia kujibu hivyo huku ukiwa umeninukuu.
 
Umeona ID yako hapo au una ID zaidi ya kumi?
 
Yaani mimi kubuni mtoko imekuwa nongwa.
1478448138023.jpg

Le Mutuz baada ya kupunguza wese.
 
Hatakama kupanga ni kuchagua lakini hii three much kwakwel.
 
Kamsaidia mkewe kupunguza nguo kabatini nadhani.
 
Sio mara ya kwanza kumwona ktk vazi la blouse ya kitenge.... Sio ana maanisha nin?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom