Quinine Mwitu
JF-Expert Member
- Oct 19, 2014
- 5,530
- 6,121
Hhahha full marinda,ha hips za mabega
[emoji23] [emoji23] [emoji23] duh siyo kwa fashion hiyo[emoji23]
Bila kumung'unya maneno wala kupepesa macho...huyo ni mshana jr. Avatar yajieleza...[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102]Hata mie nimeona anafanana na avatar ya mshana jr
Nipe adhabu yoyote lakini usiniroge tafadhali. nina familia inanitegemea... plz[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120][emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102]
Yani umenichekesha sana wewe kiumbeNipe adhabu yoyote lakini usiniroge tafadhali. nina familia inanitegemea... plz[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Hahahaha huyo si mtu wa mchezo mchezo na bila shaka ni mwanaume wa mkoani[emoji1]
Usimroge jamani ana majukumu bora hata umfanye kijakazi wako leo usiku kwenye shughuli zako[emoji15] [emoji15] [emoji31] [emoji31] [emoji2] [emoji2]