Mkuu sijui ni macho yangu lakini utanisamehe mi naona unafanana nae sura kwenye avatar yako hapo
No.....nimesema upana wa Sura yani muonekano hiyo miwani (upande wa juu tu) mambo ya blauz sijazungumzia lakini hata ukiangalia Avatar yako ambayo nimeitumia kulinganisha wewe umevaa shati.![]()
![]()
kwahiyo mimi navaa blauzi za vitenge
![]()
![]()
![]()
Hata mimi nlipoona Picha tu, nikahisi itakuwa GhanaMgosi, naona kuna jamaa kama watatu hivi wamevalia kitenge cha juu kwenye hio picha, maana kuna jamaa mwingine anatumia simu na mwingine ameweka mikono nyuma.
Hapo sio Accra au Kumasi hapo kweli?
Mgosi, naona kuna jamaa kama watatu hivi wamevalia kitenge cha juu kwenye hio picha, maana kuna jamaa mwingine anatumia simu na mwingine ameweka mikono nyuma.
Hapo sio Accra au Kumasi hapo kweli?
Afadhali sana imejulikanaHata mimi nlipoona Picha tu, nikahisi itakuwa Ghana
Bahati nzuri nimeamka salama salmin... hajaniroga. Natumai amelisikia ombi langu. Asante Mshana Jr. Nakuahidi kuwa mtiifu kuanzia leo.... sitarudia tena kukuchokoza maana jana nilivyobofya tu kitiara cha kutuma nikaanza kuhisi mawenge. Duh! Sirudii teenaUsimroge jamani ana majukumu bora hata umfanye kijakazi wako leo usiku kwenye shughuli zako
kmmanhokoMmmh!Sio msukuma huyu???
View attachment 422634
Wala huyu atakuwa anatokea kule wanakokula panyaauliyemfotoa huyu mtu Mungu anakuonaa kabisaa
halafu kama MTU wa kule kulikotokea tetemeko la ardhii
![]()
naanza kupenda ujinga
![]()
![]()
