Kuna nyumba mpya ya kupanga nimehamia kama miezi miwili iliopita katika io nyumba kuna msichana next door anaishi na dada yake tunasoma wote chuo kimoja. Mwanzoni nilimpenda na yeye akaonyesha kama ananipenda ila sijawahi kumwambia sasa juzi kati ikabidi nimchane kwamba nampenda. Alichoniambia ni kwamba anampenda jamaa mwingine wa jirani hapa afu sipo hata kwenye hisia zake dah ilo jibu lili nimaliza nguvu coz mtoto nishamzimukia mbaya saivi hata kula siwezi afu nahisi hata mtihani wa chuo naweza kufeli guys naombeni ushauri jinsi gani naweza msahau..??

mkuu najaribu kuconcetrate kwenye masomo lakini nashindwa yani nashindwa kujicontrol kabisa
Hapo kwenyewe hicho kipochi manyoya hajapewa..je angekua amepewa ndio akaachwa si ingekua balaa?soma kijana mapenzi yapo tu kisa cha kusupp kwa ajiri ya kipochi manyoya
Kuna nyumba mpya ya kupanga nimehamia kama miezi miwili iliopita katika io nyumba kuna msichana next door anaishi na dada yake tunasoma wote chuo kimoja.
Mwanzoni nilimpenda na yeye akaonyesha kama ananipenda ila sijawahi kumwambia sasa juzi kati ikabidi nimchane kwamba nampenda.
Alichoniambia ni kwamba anampenda jamaa mwingine wa jirani hapa afu sipo hata kwenye hisia zake dah ilo jibu lili nimaliza nguvu sababu mtoto nishamzimukia mbaya sasa hivi hata kula siwezi alafu nahisi hata mtihani wa chuo naweza kufeli guys naombeni ushauri jinsi gani naweza msahau?
ungekuwa pedeshee ungemrubuni na mahela, sa boom litafaa kweli kurubunia?