Huyu mtoto ataniua soon

Huyu mtoto ataniua soon

Muandalie siku kadhaa za kumuapproach( invest in time for her) utapata suluhisho kama alikuwa anazingua..... Sometimes u need sexual therapy ili uconcentrate kwenye desa
 
think about this......
kuna possibility ya yeye kuachana na huyo jamaa later?yes

kuna possibility ya wewe kumpata baadae? yes....

kuna possibility ya wewe kuwa mchepuko huku huyo jamaa anamiliki? probably yes

why ukose raha sasa?

life has full of possibilities ukitazama vizuri....

kuna possibility ya wewe kumpata mwingine na kumsahau huyo?yes...

its not the end of the world.......

Kuna possibility ya huyo Dem kuendeleza msimamo wake....Yes.
Kuna possibility ya huyo Dem kuto muona tena maishani....Yes
Kuna possibility ya kuishi bila huyo Dem....Yes
Kuna possibility ya kuacha ubwege wa kumpenda Demu zaidi ya unavyojipenda....Yes
Kuna possibility ya kusafisha ubongo na kufungua ukurasa mpya....Yes
Kuna possibility ya kupata mwenza mwingine......Yes
 
Back
Top Bottom