donbeny
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 3,612
- 3,242
Kuna nyumba mpya ya kupanga nimehamia kama miezi miwili iliopita katika io nyumba kuna msichana next door anaishi na dada yake tunasoma wote chuo kimoja.
Mwanzoni nilimpenda na yeye akaonyesha kama ananipenda ila sijawahi kumwambia sasa juzi kati ikabidi nimchane kwamba nampenda.
Alichoniambia ni kwamba anampenda jamaa mwingine wa jirani hapa afu sipo hata kwenye hisia zake dah ilo jibu lili nimaliza nguvu sababu mtoto nishamzimukia mbaya sasa hivi hata kula siwezi alafu nahisi hata mtihani wa chuo naweza kufeli guys naombeni ushauri jinsi gani naweza msahau?
Baby boy take it easy education is important than love affairs,,,,,control your feelings like a strong man