Huyu msichana vipi?


Kweli duniani 2nafanana mbinu.upo sawa kabisa
 
Yani we ACAPULCO boya kweli...
dem anakuita unaremba remba nini sasa 30 minutes enough kabisa kwa kula Mate, kupima oil na kupiga viwili vya fasta
atakuwa kakudharau sana.....hata mi umenikera kwakweli

tehe tehe..
hivi hapa wapi!
 
Last edited by a moderator:
jamaa kaka dushe liko juu juu anasubiria demu atoke discussion akaue...hahaahaaaaa
 
aisee imeniuma sana jamani nimejuta japo ni mzuri na figure nzuri lakini ananata sana

Mkono mtupu haulambwi ungepita supermarket ukanunua vi2 yani ungepewa papuchi,wewe umeenda kisela lazma akutose
 
sikupi pole kwa sababu wewe mwenyewe ndo umeharibu... huenda hiyo nusu saa uliitumia kwa kujishaua shaua akakuona huna jipya
 
Yani we ACAPULCO boya kweli...
dem anakuita unaremba remba nini sasa 30 minutes enough kabisa kwa kula Mate, kupima oil na kupiga viwili vya fasta
atakuwa kakudharau sana.....hata mi umenikera kwakweli

Evelyn Salt
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaaa dah...nyuzi zingineee burudanii
 
Sio vizuri kufundisha wenzio tabia mbaya.. Evelyn Salt
 
unaenda getoni kwa manzi bila main objetive?

wala yeye hajui umefuata nini kwake?

Huo sasa uvamizi!

Next time mwambie kabisa kwamba unaenda kumtuliza mshono dadeki..!

Mi manzi'angu ananionaga wa ajabu pale nnapomchana kwamba naenda kwake nikiwa nimemwambia namnjunja kabisaa!!
ila mwisho wa siku nakuwa civilised kwa sababu kama hayuko tayari ananiambia natuliza mshono dadeki!
siwezi mung;unya meno kwa level hii niliyopo! i am not a kid anaymore!

Mkuu na degree yako unashindwa kuwa specific? khaaa!

Kwanini sasa uone aibu? gharama nyingine twazitaka wenyewe tu bila kuombwa dadeki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…