Huyu mrembo eti nae anatoswa?

Huyu mrembo eti nae anatoswa?

mkuu acha wivu
Wivu uko wapi hapo?
Ningesema mbaya ungesema wivu ila hakuna mahali nimesema hivo.
Hata hivyo hayo ni mawazo yangu kama umeona ni wivu fine.
Au ulitaka wachangiaji wawe wanaume tu.
 
Huwezii kulaa ndizii iliyo menywaaa ni uchafuuu lazimaa uimenye mwenyeweeee
 
h
Wewe unadhani kila mwanaume anahitaji mwanamke wa aina hiyo?
Nani anataka stress kwa uvaaji huo.
Mwanaume anayejitambua na asiyehitaji kusaidiwa hapo utakula anasepa hawezi kuweka kambi.
Japo hata wanauvaa stara wanatoswa lakini mimi nadhani kila mwanaume ana tests zake.
Halafu baadhi yawanaume wanafiki anajifanya anakupenda kumbe anakuchora tu akikuacha kwa tabia na uvaaji huo anaenda kuoa mwingine anayejiheshimu.
uyo ni kwa matumizi ya muda mfupi tuu ukishatosheka unamuacha
 
View attachment 422459

Embu mtazameni jamani!
Halafu kidume unamtosa? ni uanaume kweli huo?
...huyu ni wa kutomba tuuuu maana amna namna.....ukimuoa wewe jua umewaolea wadogo na wakaka zako....ile kituuu inaitwa.."HAHINAGA USHEMEJI...TUNAKULAGAAA"....pia hata ndugu zako wakija kukutembelea usishangae aka vaa kanga moko....hapo ndo utagundua kwanini walimwengu walisemaga......."TEST B4 TAKE"

NOTED
 
Hata mi namtosa faster tu. Body Proportional ni zero. Angalia ule mguu......kama spoku za toroli la kuuzia maji ya kisima.
 
Hata mipango ya maendeleo ipo ya muda mfupi na muda mrefu
Huyo anafaa sana mipango ya muda mfupi wakati ukitafakari ya muda mrefu!
 
Wewe unadhani kila mwanaume anahitaji mwanamke wa aina hiyo?
Nani anataka stress kwa uvaaji huo.
Mwanaume anayejitambua na asiyehitaji kusaidiwa hapo utakula anasepa hawezi kuweka kambi.
Japo hata wanauvaa stara wanatoswa lakini mimi nadhani kila mwanaume ana tests zake.
Halafu baadhi yawanaume wanafiki anajifanya anakupenda kumbe anakuchora tu akikuacha kwa tabia na uvaaji huo anaenda kuoa mwingine anayejiheshimu.
Kweli kabisa chakula kikiwa wazi inzi fumbi huogopi food infection au food poisoning yaaan saiv nguo za ndani zimekuwa nje
 
Wapenda ngono utawajua tu! Kila siku huwa nawaambia uzuri wa mwanamke sio sura au umbo bali uzuri wa mwanamke ni tabi na mwenendo wake wa maisha. Lakini pia kila mtu ana taste yake katika mapenzi, hivyo kile unachokina wewe kuwa ni dhahabu safi, kwa mwingine kinaweza kuwa taka taka tena uozo mtupu.
Mkuu katika uzuri wa mwanamke, umbo na sura vinahusika pia. Wahenga kusema uzuri ni tabia haimaanishi, uzuri wa maumbile uwekwe kando.
 
Mkuu katika uzuri wa mwanamke, umbo na sura vinahusika pia. Wahenga kusema uzuri ni tabia haimaanishi, uzuri wa maumbile uwekwe kando.

Kwa hiyo wewe kama ukipata mwanamke mwenye uzuri wa sura na umbo lakini kitabia ni malaya utamuoa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom