kwa maswali haya si ajabu hata uliyenaye wewe unaelekea kumtosa kwa ajili ya huyu unayemtamani kimoyomoyo
Kumuoa inategemea. Kuna wanaume wameoa wanawake malaya na wanafahamu kwamba ni malaya.Kwa hiyo wewe kama ukipata mwanamke mwenye uzuri wa sura na umbo lakini kitabia ni malaya utamuoa?
Kumuoa inategemea. Kuna wanaume wameoa wanawake malaya na wanafahamu kwamba ni malaya.
Pointi yangu ni kwamba tunaposema 'uzuri wa mwanamke ni tabia' haimaanishi uzuri wa maumbile umewekwa kando. Kumbuka pia wanaume wengi huvutiwa na umbo then ndo wana anza kufuatilia tabia.
Ok, mie nishaoa. Ila hapo hakuna jibu la moja kwa moja. mwingine hawezi kumuoa malaya. Mwingine anaweza kumuoa kwa madai kwamba haangalii yaliyopita.Hujajibu swali bali umekwepa kujibu swali. Jibu swali kwanza halafu ndio nitakueleza kwa nini nimesema uzuri wa mwanamke ni tabia.
Ok, mie nishaoa. Ila hapo hakuna jibu la moja kwa moja. mwingine hawezi kumuoa malaya. Mwingine anaweza kumuoa kwa madai kwamba haangalii yaliyopita.
Pia wengine wanadai kwamba wana uwezo wa kumbadilisha kitabia. Na kweli wako wasiobadilika na pia wapo wanaobadilika kabisaaa.
Unaikumbuka hii commet yako! Nilidhani utaiendeleza..Mkuu, some things in this world do change and some of them never change. Kuna tabia ambazo mtu anaweza kubadilika ama kuziacha kabisa lakini kuna tabia ambazo kubadilika ama kuziacha si rahisi labda kwa msaada wa Mungu pekee. Lakini pia kumbuka ili mtu aweze kubadilika lazma atake kubadiliks kwa dhati kutoka moyoni mwake na afanye jitihada za makusudi za kuacha tabia husika vinginevyo hata ukimuombea kwa kukesha na kufunga yote ni kazi bure. Na ndio viongozi wadini huwa hawachoki kuwaasa waumini wao kuoa ama kuolewa na mtu mwenye tabia njema, msafi na mwaminifu, mwenye hofu na kumcha Mungu.
Unatumia kisha unatupa kule.
Mkuu kama ulikuwepo, hizo ni kama sera zangu. [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mademu kama hao nisipo peleka mzigo barabara ya vumbi ntakuwa sijamtendea haki yake
Huyo nakula mpaka mifupa alaf nasepa kimya kimya
Unaikumbuka hii commet yako! Nilidhani utaiendeleza..
'Hujajibu swali bali umekwepa kujibu swali. Jibu swali kwanza halafu ndio nitakueleza kwa nini nimesema uzuri wa mwanamke ni tabia.
zatupa raha sie marijaliKweli kabisa chakula kikiwa wazi inzi fumbi huogopi food infection au food poisoning yaaan saiv nguo za ndani zimekuwa nje
ChupensiChupi yake ni kubwa inafunika tako zima ndio
mwanamke yoyote ambae haujamkuta na bikira ni malaya!Kwa hiyo wewe kama ukipata mwanamke mwenye uzuri wa sura na umbo lakini kitabia ni malaya utamuoa?
mwanamke yoyote ambae haujamkuta na bikira ni malaya!