Nina muda sasa sijagumiana naye humu ndani
its like i missed her > Mrembo by Nature...where a u?
tokea nikugumie pale Kisambo market ukifanya shopng mpaka leo sijakuona tena!
Umehama mtaa? Heaven on earth unataarifa za hyu mtu?
Nani anajua aliko?
Nakukumbuka sana Chocs nimejaa tele siunajua nipo mtwara sasa
ngoja nile raha kwanza huku nitawasalimu baadae.
na siku hizi nina raha kweli na kiwatengu wangu kwani mbaya wangu Smile ameokoka ndo maana haonekani sana
hataki tena waume za watu