wakyagara wakinyora
JF-Expert Member
- Jan 1, 2013
- 735
- 286
wana jf salaam,naombeni ushauri wenu tafadhali,(serious).huyu mmama ana umri unaokadiriwa miaka 40 hivi,tunafanyanae kazi sehemu moja vitengo tofauti.kwa ujumla kazi yangu na yake zinategemeana kwa hiyo mara nyingi huwa tunaonana sana tunapokuwa kazini.mbaya zaid alikuwa mjumbe wa kamati kwenye harusi yangu na alihudhuria pia.
Siku za hivi karibuni ameanza kunifanyia vituko,akiniona mara aje anishike kimahaba tena mbele za watu,mara aniite maneno yote ya kimapenzi.cha ajabu hivi karibuni amekuwa akiniomba tutoke huku akiniambia hajaduu kama mwezi hivi.nimejaribu kutumia mbinu zote za kusema NO kiistaarabu lakini naona zinagonga mwamba.sitaki kutumia agressive wayz kwani kulingana na kazi zetu iko siku nitahitaji msaada wake na yeye iko siku atahitaji msaada wangu.
Ameanza sasa kunipigia simu usiku akijijulia hali,nimekuwa nikipokea simu zake freely kwani waifu kituo chake cha kazi ni mkoa.naanza kupata wasiwasi hali hii ikiendelea hivi si ndoa yangu itakuwa inatetereka?
Plz naomba msaada wa the best way ku resolve hii kitu bila kuleta chuki,uadui wala maelewano mabaya ya kikazi.