Huyu Mlinzi wa Rais Magufuli kapatwa na majanga gani tena?

Unachokisema ni kweli but kumbuka nyingi ni allowance na sio mshahara

Yaani na Wewe hujui kwamba kuna Watu wengine ' Allowances ' zao tu ni maradufu ya Mishahara yao ya Mwezi? Mkuu unaniangusha bhana hata hili tu limekushinda Kuling'amua / Kulijua? Mbona ni hali ya kawaida sana hii hasa katika Taasisi Muhimu na Nyeti nchini na hata katika Makampuni makubwa yaliyo chini ya Wazungu?
 
Mkuu najua, milichomaanisha ni kwamba, asilimia kubwa wakishastaafu maisha yao yanakua ya kawaida saana kutokana na pensheni zao za kila mwezi kua ndogo saana ukilinganisha na kile alichokua anakipata kama take home.
 
Hapa sawa nimekuelewa na tupo pamoja Mkuu.
 
NAOMBA KUJUA KITU, JE NI KWELI KILA TISS, HATA HAWA MACHIZI NI LAZIMA APEWE BASTOLA YAKE AWE KAIFICHA SEHEMU ???
Mkuu hamna lolote....ni watu wa kawaida sana....tatizo mna wa over rate...ni kazi ya kawaida kama kazi nyingine..tofauti wenyewe tu wamepitia mazoezi na kuitwa wanausalama basi ndo watu wana wa over rate
 
Kuna mmoja tumetoka kijiji kimoja tulikutana mkoa fluni kwenye uchaguzi mimi na mambo ya kikazi yeye nase kazi zao tulikaa lodge moja alikuja kwaajili ya vurugu zile za uchaguzi mara watu kupigana nakumbuka alinitonya niondoke pale lodge nihame.

Baadaye tulikutana mtwara tena kwenye vurugu zile za gas akiwa kama chizi kafuga midevu na koti chafuu pen kibao mfukoni yeye alinitambua akapiga begani akaondoka nikajua chizi...miaka kama miwili hivi tulikutana mwenge ndiyo akaniambia aliniona mtwara akanikumbusha...duh...nilishituka sana.
Kwa sasa ni boss wa kitengo.
Unamchongea sasa
 
Haha hatari sana
Ukienda Dodoma pale nyerere square jirani na Msikiti , yupo dogo mmoja anatokea Songea uwa anajifanya chinga mpayukaji utakuta kashika kichane cha ndizi anauza , kesho yebo. Nilipokutana nae akabadiri njia nikawaeleza jamaa kuwa huyu dogo sio namfahamu akasikia. Hakuwahi kuonekana tena. Hii ni January mpaka sasa
 
Wanatambulika tu hao jamaa wana uraia mwingi pia wanapenda kufahamika kwa raia,kuna mmoja nilimuona yupo 'bar' anapata moja moto moja baridi wakati huo badora kaiweka juu ya meza.

Dhaifu sana jamaa!!
Inaonekana Jamaa wanapenda Sana Kujionyesha.
 
Wenye hamu ya kuwaona nendeni
Obay nyuma ya eagle house
Kwenye ule uwanja waliyokuwa wanaogeshea mbwa,ngombe zamani
Opposite kna ki bar jioni mtakutano nao baadhi yao wakikata kiu
Maana jf mnapenda Mada na kuwa jua Tiss

Ova
Sasa mkuu ukienda si wataona unawapeleleza mara ukamatwe then ukaokotwe coco beach kwenye kiroba
 
Back
Top Bottom