Huyu Mlinzi wa Rais Magufuli kapatwa na majanga gani tena?

Madimba jr

Madimba jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2017
Messages
1,169
Points
2,000
Madimba jr

Madimba jr

JF-Expert Member
Joined Aug 12, 2017
1,169 2,000
Huyu jamaa alikua ni miongoni mwa walinzi wa Rais JPM tena wale ambao ni very special ambao wanakua in a close yard na rais,siku za hivi karibuni alikua haonekani kabisa kwenye misafara ya anko Magu but nimeshangaa jana kumuona akiwa kwa spika Ndugai...imekuaje tena? wataalam wa haya mambo mtujuze
2019-05-10_20-06-03-jpg.1093561
 
Mzaleee

Mzaleee

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2016
Messages
734
Points
1,000
Age
24
Mzaleee

Mzaleee

JF-Expert Member
Joined Dec 16, 2016
734 1,000
Ukienda Dodoma pale nyerere square jirani na Msikiti , yupo dogo mmoja anatokea Songea uwa anajifanya chinga mpayukaji utakuta kashika kichane cha ndizi anauza , kesho yebo.
Dah,jamaa unawajua sana au na ww ni miongoni mwao?
 
dalaliwamagari

dalaliwamagari

Member
Joined
Feb 10, 2017
Messages
42
Points
125
dalaliwamagari

dalaliwamagari

Member
Joined Feb 10, 2017
42 125
SOMETIME KAMA HUNA MAJIBU ITS BETTER UNYAMAZE TU KULIKO KUJAZA REPLY ZISIZO NA MAANA WASOMA COMMENTS TUNALOAD MI PAGE KIBAO NA HATUKUTI KITU CHA MAANA
 
Hajulikani

Hajulikani

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2013
Messages
249
Points
250
Hajulikani

Hajulikani

JF-Expert Member
Joined Nov 27, 2013
249 250
Huyu jamaa alikua ni miongoni mwa walinzi wa Rais JPM tena wale ambao ni very special ambao wanakua in a close yard na rais,siku za hivi karibuni alikua haonekani kabisa kwenye misafara ya anko Magu but nimeshangaa jana kumuona akiwa kwa spika Ndugai...imekuaje tena? wataalam wa haya mambo mtujuzeView attachment 1093561
Wakati wa Kilimanjaroa Marathoni 2019 nilimuona ameambatana na Waziri Mwakyembe
 
Mtu nisiyejulikana

Mtu nisiyejulikana

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2017
Messages
1,511
Points
2,000
Mtu nisiyejulikana

Mtu nisiyejulikana

JF-Expert Member
Joined Oct 11, 2017
1,511 2,000
hujanielewa mkuu. ila haina shida...halafu sio kila tiss ni watu wa majukumu ya kuteka, kulinda viongozi au kuuwa watu.

wapo madaktari, wachumi, wanasheria, wanahabari nk.
Mwambie huyo
 
Mtu nisiyejulikana

Mtu nisiyejulikana

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2017
Messages
1,511
Points
2,000
Mtu nisiyejulikana

Mtu nisiyejulikana

JF-Expert Member
Joined Oct 11, 2017
1,511 2,000
Kama wanategemea ushirikina unategemea nini, kwa shetani ndivyo kulivyo kufitiana kwa kwenda mbele.
Kuna uchaguzi wa askofu umepita hapa juzi kati huku kwetu

Ilikuwa fitina na ushirikina mwanzo mwisho, kutishiana mpaka siku ya uchaguzi nje ilipaki gari ya Askari wa kutuliza ghasia
 
Mtu nisiyejulikana

Mtu nisiyejulikana

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2017
Messages
1,511
Points
2,000
Mtu nisiyejulikana

Mtu nisiyejulikana

JF-Expert Member
Joined Oct 11, 2017
1,511 2,000
Huyu jamaa mwaka jana kipindi bado yupo kama mlinzi wa Rais,kuna siku moja maeneo ya serena hotel(NMB HOUSE),nipo na pikipiki mimi na rafiki yangu tunatoka Aga Khan tunaelekea PPF Tower,basi tunafika pale NMB House tu,kuna gari inatoka ndani NMB House,imeingia moja kwa moja bila taadhari barabarani, mwisho kabisa akaja kugonga pikipiki yetu.

Bahati nzuri sisi hatukuumia,ila pikipiki ndio iliumia,dereva wa ile gari alikuwa ni mdada mmoja,basi pale mabishani yakaanza kati ya sisi na yule dada kuhusu malipo ya matengenezo ya pikipiki au tuite trafiki moja kwa moja aje kupima ajali.

Muda si muda akaja mlinzi wa NMB House( FFU), yeye akawa anasema tuondoke pale,hataki mkusanyiko wa watu wowote yule, muda si muda akaja sasa HUYU JAMAA,AMBAE NI MLINZI WA RAISI, AKAONGEA NA NA YULE FFU KIDOGO THEN NAONA THEN NA YULE DADA KIDOGO. Baada ya hapo naona FFU anamwambia yule dada aondoke bila kufikiana makubaliano yeyote yale na sisi,sisi tukaanza kugoma,kilichotokea yule askari akaja na wenzio na SMG zao,wakaanza kututishia kama wanataka kuTuShoot na huku wanasema,sisi tunaweza kuwatwanga bunduki , na tunaweza kusema nyie ni wezi wa Bank mumekuja kufanya uhalifu hapa.

Kwa kweli baada ya kutishiwa mtutu wa bunduki,sisi tulikuwa wa pole, mbaya zaidi majamaa wakatupeleka kwenye kibanda chao pale nje kama majambazi,na huku nyuma yule dada wakamuondoka na huyu MLIZI WA RAISI AKAONDOKA ZAKE.

Kwa kifupi huyu jamaa ni muonevu kama watu wengine tu, hajali haki ya mtu,ni mmoja wa wale watu ambao wanatumia nafasi zao vibaya kwenye jamii.

Tangu siku hiyo hawa watu wanaoitwa ASKARI, siwezi kuwapa lifti ya gari yangu/ pikipiki hata siku moja,chuki zangu zimezidi kuongeza mara dufu. Na huyu jamaa NAOMBA KAMA KUNA MABAYA YEYOTE YAMEMKUTA BASI YAENDELEE KUMKUTA.
Pole sana mkuu
 
Mtu nisiyejulikana

Mtu nisiyejulikana

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2017
Messages
1,511
Points
2,000
Mtu nisiyejulikana

Mtu nisiyejulikana

JF-Expert Member
Joined Oct 11, 2017
1,511 2,000
Huyu dogo nilikua namuona kwa macho yangu yeye yuko first year Telecom COET mi nipo 4th year!

Ana Kiswahili cha Pemba/Tanga hivi..

Macho yangu hayawezi nidanganya!

Kama alikua na FASS pia itakua hawa mafala ni watu wa chezo la hatari sana..

Ni watu wa kufanya upindishaji!

Dogo tulikua tunashinda nae madarasa ya B14 na alikua discussions na vidogo vyenzie vya first year Telecoms!

Siwezi sahau na ni huyu huyu dogo,macho yangu sio maongo kiivyo!

Sura ni ile ile,height,etc....

Dogo kumbe kaenda kufanya kazi za ki-snitch aisee
Wakati mwingine wanakuwa wako shule kama wengine tu

Japo anaweza kufanya na kazi lakini usihesabie kilichompeleka ni kazi tu

Lakini sipingani na wewe
 
kurlzawa

kurlzawa

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2018
Messages
6,140
Points
2,000
kurlzawa

kurlzawa

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2018
6,140 2,000
Huyu jamaa mwaka jana kipindi bado yupo kama mlinzi wa Rais,kuna siku moja maeneo ya serena hotel(NMB HOUSE),nipo na pikipiki mimi na rafiki yangu tunatoka Aga Khan tunaelekea PPF Tower,basi tunafika pale NMB House tu,kuna gari inatoka ndani NMB House,imeingia moja kwa moja bila taadhari barabarani, mwisho kabisa akaja kugonga pikipiki yetu.

Bahati nzuri sisi hatukuumia,ila pikipiki ndio iliumia,dereva wa ile gari alikuwa ni mdada mmoja,basi pale mabishani yakaanza kati ya sisi na yule dada kuhusu malipo ya matengenezo ya pikipiki au tuite trafiki moja kwa moja aje kupima ajali.

Muda si muda akaja mlinzi wa NMB House( FFU), yeye akawa anasema tuondoke pale,hataki mkusanyiko wa watu wowote yule, muda si muda akaja sasa HUYU JAMAA,AMBAE NI MLINZI WA RAISI, AKAONGEA NA NA YULE FFU KIDOGO THEN NAONA THEN NA YULE DADA KIDOGO. Baada ya hapo naona FFU anamwambia yule dada aondoke bila kufikiana makubaliano yeyote yale na sisi,sisi tukaanza kugoma,kilichotokea yule askari akaja na wenzio na SMG zao,wakaanza kututishia kama wanataka kuTuShoot na huku wanasema,sisi tunaweza kuwatwanga bunduki , na tunaweza kusema nyie ni wezi wa Bank mumekuja kufanya uhalifu hapa.

Kwa kweli baada ya kutishiwa mtutu wa bunduki,sisi tulikuwa wa pole, mbaya zaidi majamaa wakatupeleka kwenye kibanda chao pale nje kama majambazi,na huku nyuma yule dada wakamuondoka na huyu MLIZI WA RAISI AKAONDOKA ZAKE.

Kwa kifupi huyu jamaa ni muonevu kama watu wengine tu, hajali haki ya mtu,ni mmoja wa wale watu ambao wanatumia nafasi zao vibaya kwenye jamii.

Tangu siku hiyo hawa watu wanaoitwa ASKARI, siwezi kuwapa lifti ya gari yangu/ pikipiki hata siku moja,chuki zangu zimezidi kuongeza mara dufu. Na huyu jamaa NAOMBA KAMA KUNA MABAYA YEYOTE YAMEMKUTA BASI YAENDELEE KUMKUTA.
Unagari kumbe?
 
Forum statistics

Threads 1,295,450
Members 498,335
Posts 31,212,482
Top