Huyu Mkenya anaeendesha gari la $2.7 Million ni nani?

Ukwaju jiheshimu...., loool!
 
Last edited by a moderator:
Hii picha mbona haina udhibitisho kama imepigwa Kenya? Unaweza kutupia nyingine tuone kama kweli gari hili lipo Kenya? Maana haya mandhari hayana udhibitisho kama ni Kenya inaweza kuwa UAE au nchi nyingine yeyote ya kiarabu ushaidi plate number na jamaa amekaa pembeni tu kupiga picha! Na kama hii gari ni $2.7 million inamaana ni mpya na kama hivyo sioni sababu ya yeye kununua left hand wakati Kenya magari ni right hand! Sijadanganyika na misifa ya Kikenya...ninaamini hamna mtu ana gari hiyo Kenya
 
ni Jaguar.

Hahahaha, ati Jaguar!!..hayo macho yenu hayajui kutazama? hizo number plat za Dubai, na hapo ni U.A.E wala si Kenya, toka lini kenya wanaendeshea RH?!!! Tazama hizo rangi ukutani ni bendera ya wapi? Hapo ni carwash mitaa ya Dubai.
 
Hivi kupiga picha pembeni ya gari ndio kunaonesha umiliki?
 
Kwa hiyo ulitaka ajenge vyoo vizuri kwa majirani wote????!!!!
 
Jamani mm nawapenda sana
na hivi si dada zangu wa damu moja
kuna siku mtanifadhili lakini huyp Mjaluo ana GOVInda
nitafunila macho yangu (na soksi) nikisikia mmeenda

we usijali mimi nitakuwa nakupa hela wala usipate shida
 
Unaelewa kule Kenya hasa Nairobi wale majambazi wa baharini - pirates, kutoka somalia ndiko wanaweka pesa zao. Kwahiyo hizi $2.7m ni mgao wa huyu jamaa kwa kuwapatia visa za kukaa kenya. Hakuna uzalendo huko, nchi inauzwa kama chapati na maandazi.
 
Hahahaha, ati Jaguar!!..hayo macho yenu hayajui kutazama? hizo number plat za Dubai, na hapo ni U.A.E wala si Kenya, toka lini kenya wanaendeshea RH?!!! Tazama hizo rangi ukutani ni bendera ya wapi? Hapo ni carwash mitaa ya Dubai.
kama sikosei huyu jamaa anafanya kazi katika carwash kiaina! hiyo bendera ukutani imemaliza kabisa...Mikenya inapenda sifa ati Mkenya anamiliki gari hiyo! JF imekuwa ya ajabu siku hizi wana-quote website za ajabu kama ghaflla.co.ke
 
hate damages the brains,you are the casualty.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…