Huyu mke wangu tatizo

Huyu mke wangu tatizo

Mvulana na msichana mmeoana au mnaishi kigetogeto??
 
Usitoe kebehi,usidharau ukomo wa uwezo wa fikra za mtu.huwez jua kwa upande mwengine jamaa anakuzid kimaamuz na humfikiii hata robo..ila kwakuwa ndoa yao changa huenda ANAONA ISIWE TABU..
Wewe unaona anachofanya ni sahihi?

Kama ingekua ni sahihi sidhani Kama angeanzisha thread.
 
Mimi natamani kujua background ya maisha ya mkeo. Nahisi kuna jambo hujalisema au umefichwa ambalo limemfanya huyo mkeo kushindwa kuweka mpaka baina yake na rafiki zake.
Kifupi wanaona mwenzao amefanikiwa sana hapo alipo(hata kama binafsi unajiona bado sana) kiasi cha kumuona mkeo ni kama mzazi wao na suluhisho la walikopita.

Kama sivyo basi jiandae kwa ukurasa ambao hukuutarajia
 
Basi apo mkuu mkeo ndo mlipaji wa bill zote za nyumban...

Ila nawaza hii ktu uliyotusimulia inawezekana kweli....yaani mkeo aondke akuache na mwanamke ndani tena asubuhi...
Hivi unawajua wasukuma kuna dada kaolewa nao mmewe akienda naye kwao anajiachia kama yupo kwa Baba yake mdomo mpaka mama mkwe anamshangaa
 
Mke wangu Msukuma mimi na mke wangu na lala kitandani yeye katandika kagodoro chini
Shemeji hebu acha kutusingizia bana, mbona sisi wasukuma hatuna tabia za kishenzi kama hizo, fuata ushauri wa mdau pale juu ......gegeda rafiki yake, problem solved
 
Ni mvivu mke wangu anaenda kazini yeye amelala akirudi anamkuta kalala yani ata vyombo ajaosha juzi mke wangu alikuwa ni zamu yake kufagia nje na kudeki choo akamuomba msaidie kufua nguo zilikuwa ameloweka yeye akifanya hizo kazi akasema wezi kufua wakati sisi tumevaa nilishangaa kwasababu mwezi anakula bure analala bure paka pesa ya kusuka anapewa
Wewe ni mjinga tu.
 
Ungekuwa ndugu yangu ningekuja hapo hapo kwako naanza na wewe nakupa vindoge vyote kisha mkeo akileta nyodo anakula kofi moja, namfuata huyo shemeji yako kama alizaliwa na binadamu au mbuzi , namfungasha siku hiyo hiyo, hana adabu kabisa huyo!
 
umeolewa wewe....pumbafu wewe........hata usiku mmoja kwangu halali......akilala siku hiyo namkaza wife kibingwa mnoooooo....then namwambia kezo zamu ya rafikiyo.......
 
Mkuu kwema? ujue busara na hekima ni jambo jema sana katika maisha haya ya kila siku. Usipokuwa na busara pamoja na hekima hakika utaonekana mtu wa ajabu sana kama unataka kuchepuka na shemeji yako nakuomba unipatie namba ya mke wako ili wakati unachepuka na shemeji yako nami huku kwangu niwe namshughulikia mke wako.
 
umeolewa wewe....pumbafu wewe........hata usiku mmoja kwangu halali......akilala siku hiyo namkaza wife kibingwa mnoooooo....then namwambia kezo zamu ya rafikiyo.......
Nimeoa boss
 
Jamani nimeoa mwaka huu mwezi wa pili tunaishi vizuri na mke wangu bila shida yoyote.

Miezi mitatu baada ya ndoa mke wangu akaanza kuleta marafiki zake wa kike tuishi nao wakati anajua kabisa tumepanga chumba kimoja wakawa wanakuja baada ya wiki wanaondoka wanakuja wengine hivyo hivyo nikimuambia mbona unaleta marafiki zako na tupo na chumba tu anasema wao wanakuja na awezi kuwafukuza .

Sasa huyu rafiki yake wa sasa aliyekuja ndio shida kaja toka mwezi wa 9 na wala hana mpango wa kuondoka yupo tu na shida nyingine ni mvivu sana hapa nipo kwenye mawazo kwasababu mke wangu hata hajali kwasababu toka aje huyo rafiki yake sijawai kufanya tendo la ndoa na mke wangu kwasababu awezi kufanya na yeye yupo hapo naona mke wangu wala haoni shida yeye yupo tu

Vipi jamani nifanye nini nimuondoe huyu shemegi hapa na ugwadu mpaka natamani nichepuke au nimle huyu shemeji akikataa itakuwa ndio njia ya kuondoka mwenyewe kwasababu kuna muda wife anawahi kazini ananiacha naye

Naombeni ushauri nifanye nini imekuwa kero kubwa sana.
Aisee wagonge hao rafiki zake,mkeo anskuletea kihanja ni upuuzi wako umeshindwa kuelewa,anza kuwa unamtomba mkeo,ma huyo rafiki yake anaona,akipandwa nyege unampelea mtalimbo
 
Unakwama wapi mkuu?

Opportunity ya threesome kama hiyo unaizembeaje?

Dah!
 
Jamani nimeoa mwaka huu mwezi wa pili tunaishi vizuri na mke wangu bila shida yoyote.

Miezi mitatu baada ya ndoa mke wangu akaanza kuleta marafiki zake wa kike tuishi nao wakati anajua kabisa tumepanga chumba kimoja wakawa wanakuja baada ya wiki wanaondoka wanakuja wengine hivyo hivyo nikimuambia mbona unaleta marafiki zako na tupo na chumba tu anasema wao wanakuja na awezi kuwafukuza .

Sasa huyu rafiki yake wa sasa aliyekuja ndio shida kaja toka mwezi wa 9 na wala hana mpango wa kuondoka yupo tu na shida nyingine ni mvivu sana hapa nipo kwenye mawazo kwasababu mke wangu hata hajali kwasababu toka aje huyo rafiki yake sijawai kufanya tendo la ndoa na mke wangu kwasababu awezi kufanya na yeye yupo hapo naona mke wangu wala haoni shida yeye yupo tu

Vipi jamani nifanye nini nimuondoe huyu shemegi hapa na ugwadu mpaka natamani nichepuke au nimle huyu shemeji akikataa itakuwa ndio njia ya kuondoka mwenyewe kwasababu kuna muda wife anawahi kazini ananiacha naye

Naombeni ushauri nifanye nini imekuwa kero kubwa sana.
Sasa hata RUKHSA ya kujilia hao mashemeji zako mpaka uje kuomba humu? EBOO! Chakarika wewe acha kujibwetesha!
 
Back
Top Bottom