Huyu mkaka jamani lol

Huyu mkaka jamani lol

Last edited by a moderator:
mimi49 hebu msome Passion Lady apo juu anavo advocate ucannibalism! ndio maana nimekuita labda evolution?
Mwanaadamu ni mnyama na fact hio haitobadilika,na ukimtest to the maximum anaweza afanye kitu chaajabu sana just for survival mfano mzuri ni njaa au kiu....let say umestuck somewhere kati kati ya bahari unajua kabisa una kiu ya kufa mtu na ukinywa maji ya bahari una dehydrate na bado ikisha waenda kuyakimbilia na kuyanywa maji yaleyale mweh :A S 39:!Btw passionlady anazungumzia kule kula kwa yale mambo yetu flani flani si unajua tena Kaizer
 
Last edited by a moderator:
nawe ungekuwa mrembo wala hata usingekuja kuomba ushauri huku! jamaa anaona huendani naye!
 
mmh!! i have been there ujue, there's no way ukaona hiyo mambo juu ya nguo...

ukitaka uone either mtu awe penenguuuu au uguse tumbo lake
best Watu 8 ujue nimekumis sana!
Nafikiri mi mshamba 6 pack ndio nini best!
 
Last edited by a moderator:
best Watu 8 ujue nimekumis sana!
Nafikiri mi mshamba 6 pack ndio nini best!

Umepotea sana mtu wangu, nami mekumis sana dia...

Hebu angalia hii picha mpendwa, six pack abs ni hizo sehemu sita za misuli ya tumbo zilizojigawanya baada ya mazoezi...

six-pack-abs.jpg
 
Last edited by a moderator:
Kama "AMESHAKUMEGA" we sema UKWELI ili tukisaidie VIZURI, haya funguka sasa!
 
Hi guys, Jamani kuna mkaka mmoja alihamia hapa jengoni kwetu kutoka Mkoani. Huyu mkaka ni handsome aisee kwa vigezo vyangu lakini, ana features ninazozipenda. He is tall with six pack, charming, black, ukija kwenye motion ndo usiseme! Alitokea kunizoea nami nikamzoea tukawa marafiki saana almost 6 months now. Ananiamini sana kiasi kwamba kuna vitu ambavyo he suppose to tell his girlfriend to do ila huwaga ananiambia mimi ndo nifanye. Let say kumsaidia issue za TRA, Kulipia bill za maji na umeme, kupeleka document fulani mahali n.k.

I real like him, lakini ana tabia moja ambayo haifichi na wala haogopi kunisimulia kuhusu wasichana anaodate nao. Yan kila akitoka na msichana atanisimulia kama kumponda atamponda kama kumsifia atamsifia. Tatizo langu kwake, haipiti siku 3 bila kumuota though simuoti kwa majambozi.

Naumia tu kimoyomoyo, i wish nimwambie hisia zangu ila naogopa. Najiuliza je akikubali kuwa na mimi ataacha kweli tabia yake? Ushauri wenu ni muhimu sana kwangu.
hiyo ni RISK
 
hiyo ni RISK sio rahis kwa mwanaume zaidi ya miaka 18 kubadilisha tabia zake
 
Back
Top Bottom