Huyu mkaka jamani lol

Huyu mkaka jamani lol

hahahaaaaa haiwezekani aisee, wa kwangu yuko mjengoni mji ulio katikati ya nchi pia soul mate wangu hana wengi ni mie tuu na (mama e....)
Ikiwa tunashare same boy daah watakuwa mapacha bana hata sitaki kuamini looh
No, can't be the same boy.
 
Last edited by a moderator:
Hi guys, Jamani kuna mkaka mmoja alihamia hapa jengoni kwetu kutoka Mkoani. Huyu mkaka ni handsome aisee kwa vigezo vyangu lakini, ana features ninazozipenda. He is tall with six pack, charming, black, ukija kwenye motion ndo usiseme! Alitokea kunizoea nami nikamzoea tukawa marafiki saana almost 6 months now. Ananiamini sana kiasi kwamba kuna vitu ambavyo he suppose to tell his girlfriend to do ila huwaga ananiambia mimi ndo nifanye. Let say kumsaidia issue za TRA, Kulipia bill za maji na umeme, kupeleka document fulani mahali n.k.

I real like him, lakini ana tabia moja ambayo haifichi na wala haogopi kunisimulia kuhusu wasichana anaodate nao. Yan kila akitoka na msichana atanisimulia kama kumponda atamponda kama kumsifia atamsifia. Tatizo langu kwake, haipiti siku 3 bila kumuota though simuoti kwa majambozi.

Naumia tu kimoyomoyo, i wish nimwambie hisia zangu ila naogopa. Najiuliza je akikubali kuwa na mimi ataacha kweli tabia yake? Ushauri wenu ni muhimu sana kwangu.

iyo lol kwenye heading inahusikaje?
 
Maisha ni furaha na Raha ,,,,,,,,,,,,,,,,, hatuishi milele , mpe tu jamaa roho yako iwe kwatu.

Mambo ya kujibania wakati hata hao wengine unaokuwa nao pia na yenyewe yana uchungu wake,,,,,,,,,,,,,, jiachie tu.
 
Kumbe saccos yetu moja mie nlijua tuko na vicoba, hapa ni siksi paki mwanzo mwisho vitambi nooh refer yale matembezi ya posta morrocco looh soul mate asije akakimbia buree na hivi alivo mhandsome....

Halafu nahisi wewe mtu nishatembea nawe sana kwenda Morocco....lemme think
 

ebooo!!sasa mtu anakuhadithia
na kuwaponda madem anaotoka nao
na wewe unapenda hapo2???akikukula
na wewe ataenda kuhadithia na kuponda kwa wengine!!
sidhani kama anakufaa,we dumisha urafiki wa kawaida tu!!
 

ebooo!!sasa mtu anakuhadithia
na kuwaponda madem anaotoka nao
na wewe unapenda hapo2???akikukula
na wewe ataenda kuhadithia na kuponda kwa wengine!!
sidhani kama anakufaa,we dumisha urafiki wa kawaida tu!!


heee Passion Lady amkule kwani amekuwa chakula ama?:A S 39:
 
Last edited by a moderator:
Maisha ni furaha na Raha ,,,,,,,,,,,,,,,,, hatuishi milele , mpe tu jamaa roho yako iwe kwatu.

Mambo ya kujibania wakati hata hao wengine unaokuwa nao pia na yenyewe yana uchungu wake,,,,,,,,,,,,,, jiachie tu.
Mhhh...aiseee...speechless:tape:
 
Back
Top Bottom