Huyu mkaka jamani lol

Huyu mkaka jamani lol

unaweza kuwa sababu ya yeye kubadilika. Embu tumia nafas yako vizur na usiunyme moyo wako unachokpenda
 
Hahaha besti.... Kwani akivaa nguo ya kumtoshelea si unaona mifereji? Lol

mmh!! i have been there ujue, there's no way ukaona hiyo mambo juu ya nguo...

ukitaka uone either mtu awe penenguuuu au uguse tumbo lake
 
Atabadilika ikiwa utaamua kumbadilisha.
Anza kwa kujaribu kumshauri vitu vidogo uone kama atavifuata then utapata mwanga
 
Ahahahahaaaa...wallah umedata wewe!

You are sooo stooopid:smile-big:? Hey have you ever been kidnapped and bound? If you have, what did you do?
Kidnapped yes.But they didnt get to bind me. You wanna
bind me NN? If so, Then what?
 
hivi kitambi ni one pack?
kuna staili nyingi za kutongoza na hapo ndio ushatongozwa hivyo

Dah! Nimecheka mpaka jamaa wamekuja kuchungulia kuna nini huku! Kitambi ni zero pack mkuu.
 
Tall, dark. Sounds like someone I have been taking to bed with me in my dreams.
Huyo wa kwako yukoje? Mwembamba? Mweusi sana ama chocolate?

Ha ha haaaaa mamaa wa viwango!!!!! I also admire tall and black men
 
sample hizo mara nyingi wanakuwa na chembe za ushoga!
 
Back
Top Bottom