mkuu mbn umepotea kabisa siasani??Hivi mkoani huwa ni wapi hasa!???????
![]()
He looks like this guy! Tena anapenda kuvaa vizibao wee utamtaka, huwa natamani nimuwao (nimuhug) kila wakati nikimuona.
Mkuu hata huko napatikana,labda hatuonani tu.Kwema lakini?mkuu mbn umepotea kabisa siasani??
kwema mkuuMkuu hata huko napatikana,labda hatuonani tu.Kwema lakini?
matatizo ya screen touch!??
Una genye tuuuuuuuu ukibabuliwa utapoaHi guys, Jamani kuna mkaka mmoja alihamia hapa jengoni kwetu kutoka Mkoani. Huyu mkaka ni handsome aisee kwa vigezo vyangu lakini, ana features ninazozipenda. He is tall with six pack, charming, black, ukija kwenye motion ndo usiseme! Alitokea kunizoea nami nikamzoea tukawa marafiki saana almost 6 months now. Ananiamini sana kiasi kwamba kuna vitu ambavyo he suppose to tell his girlfriend to do ila huwaga ananiambia mimi ndo nifanye. Let say kumsaidia issue za TRA, Kulipia bill za maji na umeme, kupeleka document fulani mahali n.k.
I real like him, lakini ana tabia moja ambayo haifichi na wala haogopi kunisimulia kuhusu wasichana anaodate nao. Yan kila akitoka na msichana atanisimulia kama kumponda atamponda kama kumsifia atamsifia. Tatizo langu kwake, haipiti siku 3 bila kumuota though simuoti kwa majambozi.
Naumia tu kimoyomoyo, i wish nimwambie hisia zangu ila naogopa. Najiuliza je akikubali kuwa na mimi ataacha kweli tabia yake? Ushauri wenu ni muhimu sana kwangu.
Nje ya Dar es Salaam
uandunje, skin colour na ta.ko hapo vinamuweka kwenye ramani mkuu
kama ikitokea mtu yuko Mwanza kwa mfano, atakuwa sahihi kusema Dar es salaam ni mkoani?
kumbe ananizeveza eeehhh, haya mentali nshaambiwa siri zako kwani kunifanya mie zoba kumbe hata sio mentali ni mtawa tena kumbe ni baba paroko, au wamekukwaza huko unaamua kupunguza machungu huku? ona sasa wanamwaga siri zako nje basi kuanzia leo mie sio mentali wako tena nimekutoa kwenye mamentali wenzangu kumbe wewe ni baba paroko akuu usinifanye nikachuma dhambi ya kuambiwa nimemvutisha bange baba paroko, bye!!!. Ila ukiendelea kufanya maombi unaweza nivuta huko parokiani ilasitakuwa mtawa nitakuwa muumini tuu looh!!