Oh Boss nilipoona hiyo makitu handsome hapo juu ze devil akanivaa.
huyu ni wa ushii romo looh mwenake Mentor marangu mtoni hawa ni wamoja nimeshawastukia na mambo yao huwa yanafatana, ukimuona Mentor ujue @watu8 yuko pembeni.
Mentor ndo alininong'oneza kuwa wewe ni wa ushii rombo na yeye ni wa marangu mtoni sasa kama kakupakazia mshike shati mwenyewe si huyo hapo.Mmmh!!! ya kweli hayo?
Halafu naona umeirudisha tena ile makitu...this time iache hapo hapo
Hehehe...mi simoooo
sakapal, nilikuwa nalo la ukweli kutoka kwa al-shabaab wa Paloma (did u know she puffs too!??) sema ndo ishu za westgate zilimkimbiza nchini sijui kenda wapi tena!!!Mentali upoo?? longi aisee wacha nikapate ganja kwanza nikirudi ntakuja tufanye ule mzunguko wa feri kisha twende morocco
Umemsahau Kongosho...
kweli bange imekubangua si buree
Shhhhhh....:tape:
Mbona watu8 ni shem wangu!?? Yaani yeye kamchukua dada yangu, na mimi nitamuoa dada yake soon!!!😎
ndo mtu na shemeji yake lenu moja, na ule mpango wenu wa lunch pale posta umeishia wapi???
sakapal, nilikuwa nalo la ukweli kutoka kwa al-shabaab wa Paloma (did u know she puffs too!??) sema ndo ishu za westgate zilimkimbiza nchini sijui kenda wapi tena!!!
Hehehe...mi simoooo
Hmmmm.Mara tujikute we are messing with the same boy.
Hi guys, Jamani kuna mkaka mmoja alihamia hapa jengoni kwetu kutoka Mkoani. Huyu mkaka ni handsome aisee kwa vigezo vyangu lakini, ana features ninazozipenda. He is tall with six pack, charming, black, ukija kwenye motion ndo usiseme! Alitokea kunizoea nami nikamzoea tukawa marafiki saana almost 6 months now. Ananiamini sana kiasi kwamba kuna vitu ambavyo he suppose to tell his girlfriend to do ila huwaga ananiambia mimi ndo nifanye. Let say kumsaidia issue za TRA, Kulipia bill za maji na umeme, kupeleka document fulani mahali n.k.
I real like him, lakini ana tabia moja ambayo haifichi na wala haogopi kunisimulia kuhusu wasichana anaodate nao. Yan kila akitoka na msichana atanisimulia kama kumponda atamponda kama kumsifia atamsifia. Tatizo langu kwake, haipiti siku 3 bila kumuota though simuoti kwa majambozi.
Naumia tu kimoyomoyo, i wish nimwambie hisia zangu ila naogopa. Najiuliza je akikubali kuwa na mimi ataacha kweli tabia yake? Ushauri wenu ni muhimu sana kwangu.
Nilikuwaga nafagilia ka kitambi na kishkaji not any more. Ee bwana hao wanao jog asubuhi mie lazima I honk and blow them a kiss.
Hivi mkoani huwa ni wapi hasa!???????
Duh!Kumbe alitokea Shimiwi??!!!mkoani ni Shimiwi
Hilo tumbo lake umelionaje wewe mtoto wa kike hadi ukajua limegawanyika mara sita???