Huyu member AshaDii yupo wapi?

Huyu member AshaDii yupo wapi?

Konda wa bodaboda

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2014
Posts
7,981
Reaction score
4,172
Huyu member ana mchango mkubwa sana kwenye baadhi ya majukwaa hapa JamiiForums.

Kule jukwaa la chini na hapa MMU kuna nyuzi nyingi tu alizoshiriki na si tu kushiriki bali michango yake imekuwa msaada mkubwa sana kwa wasomaji wa masuala ya mahusiano na mapenzi.

Kila nikifungua jukwaa la MMU naona jina lake kwenye restricted thread.

Pia si vibaya kumfahamu kwa uhalisi wake japo nimekuwa nikihisi huenda ni mmoja wa mods au ni ex-moderator, au labda ameamua kubadili ID, japo sijaona member wa sasa anayetoa points za maana kama yeye ikiwa alibadili username.

Cc: Invisible, Paw, Moderator.
 
Enzi za uhai wake RIP Mohamed Mtoi, AshaDii alishirikiana vema na Mtoi kutuweka sawa, kuweka hoja zenye changamoto nk

Namkubali sana binadam huyu. Binafsi ningependa pia kufaham aliko huyu nguli hapa Jf.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom