Unadhani kuguna ni kuashiria kwamba wao wanaelewa. Mjomba elewa kwamba siyo kila unachokipenda wewe ndiyo choice ya wengi na vile vile siyo unachokichukia wewe ni adui wa umma. Tena usiende kusikiliza maana nina mashaka na uelewa wako! Phobia tu mpaka mtakufa!
Hivi wajameni hii chuki mnadhani itatufikisha popote? Mimi nadhani demokrasia inataka kwamba mtu awe huru kwenda popote. Uhuru huo unahusisha pia kukataa kwenda popote. Sasa wewe usipoteze muda wako kushinikiza kitu unachokitaka wewe. Sisi tuliopo hapa na wenye hamu ya kujua mambo mbalimbali na kupanua uelewa wetu tutakwenda na tutasikiliza. Mbona jana tuliposikia Mbowe kaja walotaka wameenda na hakukuwa na ishu. Usituletee za kuleta hapa!