BILLY ISISWE
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 2,667
- 1,051
Flora Mwano bila shakaHakika TBC wameboresha, kwa anaefahamu jina lake tafadhali.... Picha zake nimezikosa kabisa google
"Mkabesah"; sawa 'Mwanamkepesa'.Msearch insta 'Mkabesah'.
Au Elizabeth Mramba. Najua tu atakuwa ni huyu cheupe.
'Bahati mbaya' amekwisha olewa na watoto kadhaa keshazalishwa.
Acheni wivu she is very pretty
umesema ukweli, yupo na uzuri wa asili, hapo akipiga mini ama akikuachia paja si utazimia?Acheni wivu she is very pretty
Rangi ya mtume mwili standard mguu guuu
Hajaweka lacewig wala kuvaa kuonyesha mwili
Yuko decent akivua jeeee heheh
Siyo huyo mkuu, kuna mwingine sijui ni mgeni sijawahi kumwona akitangaza taarifa ya habari
ahsante.....
ndo huyu bhana, huyo mwengine ni fundi mitambo amekuja juzi juzi tika pugu roadPicha please!
poyoyo
dem mweupe hawezi kuitwa chausiku, huyo ni mchaga na mweupe,
Ila yeye hajasifia kijungu, afu sijui kwa nini ninyi wanawake mnajua uzuri wa kuwapenda ninyi upo kwenye matako.Wewe una yako tu ....kama hiko kijungu mwenyewe ninacho tumuonee wivu wa nini .......tumeamua kuwaachia Leo mada yenu muhangaike nayo.....any way ni mzuri kweli mungu fundi
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesoma comment yangu mpaka mwisho au umeuona mstari mmoja tu?Ila yeye hajasifia kijungu, afu sijui kwa nini ninyi wanawake mnajua uzuri wa kuwapenda ninyi upo kwenye matako.
Hata constant smile tu inaongeza uzuri wa mke, sio kujipara na makeup afu unanuna
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mzuriWakawaida sana.
kijungu kina nafasi yake ila rangi nyeupe ni adimu hasa ukute kama huyu hajatumia mkorogo.Ila yeye hajasifia kijungu, afu sijui kwa nini ninyi wanawake mnajua uzuri wa kuwapenda ninyi upo kwenye matako.
Hata constant smile tu inaongeza uzuri wa mke, sio kujipara na makeup afu unanuna
Sent using Jamii Forums mobile app