Huyu mdada anaetangaza taarifa ya habari ya TBC ameolewa?

hujamwona live wewe, huyu mtoto ni balaa, akiwa studio kila fundi wa kiume anataka kufanya naye kazi, alafu hajui kukasirika, anacheka tu na watu, mme wake ana raha kuliko wanaume wengi, ukipata mwanamke anayekupa tabasamu, hata asipokupa chakula cha usiku unafika raha ya juu kabisa
umenena yan mke akiwa anatasam ni rahaa sana
 
Back
Top Bottom