Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,277
- 17,983
Tanzania Broadcasting Comedy - TBC
Tanzania Broadcasting Comedy - TBC
Unavyomsifia huyo mrembo usikute ndiyo wewe mwenyewe umeamua kujifagilia😁😁kijungu kina nafasi yake ila rangi nyeupe ni adimu hasa ukute kama huyu hajatumia mkorogo.
Aisee! Bwashee hii komenti yako imenisikitisha sana nimetoka kum'view insta hadi namba yake yake kaweka.. nikaichukua itabidi niifute tuu.Msearch insta 'Mkabesah'.
Au Elizabeth Mramba. Najua tu atakuwa ni huyu cheupe.
'Bahati mbaya' amekwisha olewa na watoto kadhaa keshazalishwa.
Mnyie mnataka kifurushi kikiisha tuangalie nini!?Duh kumbe we ni mmoja kati ya watazamaj wa tbc waliosalia 😀😀😀
Kwa hapa Tanzania arrangement nzur na yenye ubunifu kwa sasa ni ya TBC ingawa content unaweza usizipende lkn wana idea flani hv
Uzuri wa sura ni tofauti na bashasha za utangazaji ...
Dogo uzuri ni zaidi ya sura..!?Uzuri wa sura ni tofauti na bashasha za utangazaji ...
Endelea kukodolea Tbc shekh utakuwa unatujuza hao wa zuriDogo uzuri ni zaidi ya sura..!?
Mtaalam.. huyu mtt ni mzuri sana..namuonea wivu mmewake humu..by the way tbc naangalia king'amuzi kikikataEndelea kukodolea Tbc shekh utakuwa unatujuza hao wa zuri
Sawa mkuu ila tambua ya kuwa kava la nje halisadifu lkilichopo ndaniMtaalam.. huyu mtt ni mzuri sana..namuonea wivu mmewake humu..by the way tbc naangalia king'amuzi kikikata
Elizabeth Mramba ndio Kamzuzua?? Je akiwaona kina Monita Rajipal au Priyanka Chopra si atazimia??
Bro content inaanzia njeSawa mkuu ila tambua ya kuwa kava la nje halisadifu lkilichopo ndani
Sie tupo tz kama ww muhindi waangalie hao.Elizabeth Mramba ndio Kamzuzua?? Je akiwaona kina Monita Rajipal au Priyanka Chopra si atazimia??
Sawa mkuuBro content inaanzia nje
Jaribu bahati yako!Aisee! Bwashee hii komenti yako imenisikitisha sana nimetoka kum'view insta hadi namba yake yake kaweka.. nikaichukua itabidi niifute tuu.
Hata mimi namuona wa kawaida sana,nikajua labda ni mimi peke yangu ndio sijui maana ya uzuri.Wanawake kama hao kule moshi na arusha wanazagaa tu mitaani hawana inshu.
Mke wa mtu sumu bwasheeJaribu bahati yako!
Haa😁😀😄😃Hata mimi namuona wa kawaida sana,nikajua labda ni mimi peke yangu ndio sijui maana ya uzuri.Wanawake kama hao kule moshi na arusha wanazagaa tu mitaani hawana inshu.