AYnay
JF-Expert Member
- May 7, 2026
- 1,705
- 4,490
potezea nitakupa hela 😁Primary court
potezea nitakupa hela 😁Primary court
Wewe upo sahihi mkuu.Ukiwa busy na mambo yako hauwezi kukubali kutumika kwa wengine.
Lakini pia uongozi ni wito sio kila fala anaweza kuwa kiongozi. Just imagine Hafidh ni kiongozi hata yeye mwenyewe ukimuuliza hajui kama ni kiongozi😂😂😂😂😂😂😂
Wachaga wengi hawana wito wa uongozi ila sasa fuatilia hii nchi sekta zoooote zinazohusu fedha kama hauwezi kuwakuta.
Dili na ile kitu inakupa faida mzee!!!
Ale mchicha Ili aone.
Ila kwa upande wangu hakuwahi kunibamiza….Sema tuliachana kwa maji ya kilimahewa nusu lita.alidai nimemnunulia maji ya kandoro ila hawa KILIMAHEWA…….Ale mchicha Ili aone.
Niliwah kudate na mchaga fulani, ah kmmmkee zake mngese yule, alikua anapenda pesa kama wakala 🙌
Bc huyo hakuwa mchaga ogIla kwa upande wangu hakuwahi kunibamiza….Sema tuliachana kwa maji ya kilimahewa nusu lita.alidai nimemnunulia maji ya kandoro ila hawa KILIMAHEWA…….
Kuna zile pure chagas, baba mama wote Wachaga + kuishi uchagani Ndo akaja MjiniChagga+nyaturu=?
Inavyosemekana wezi...Kwanini sasa.